maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Wadau nataka tujadili sababu za kutoanzisha kinu cha Nuclea hapa tanzania.
Kwa sababu ni ishu ya uwekezaji tu kuliko kuhangaika na majenerator yenye kutumia mafuta na umeme wake usio wa uhakika huku bei mbaya sana tatizo iko wapi?
Iran iliwaomba warusi ili wajenge vinu vya nuclear kwa ajili ya matumizi yake na viwanda leo wako mbali sana kwetu inashindikana nini ebu tuwe wawazi kwa sababu energy ndo kila kitu.
Tukiwa na umeme wa uhakika hata mazingira hayataharibiwa kwa kuni na mkaa. Kama tuko serious kwa nini tusiweke kipao mbele ya uwekezaji wa energy hiyo? Basi imeshindikana Kuna site nyingi za Geothermal energy kwa nini tusiwekeze hata huko?
Umeme Tanzania ni tatizo kubwa kwa maendeleo ya viwanda vikubwa na vidogo hatuna umeme wa uhakika huko migodini na maeneo yenye kuhitaji moto watu huweka magenetator kama za iptl.
Ebu tujadiliane tatizo nin nchi zote duniani iliyoendelea wanatumia nclear energy na umeme unakuwa na bei ndogo sana na raia wake wanafaidi maisha mana moto ni maisha