Jini mahaba
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 151
- 39
Samsung Galax yako imeibiwa..
umenuna, umesikitika umetukana na kulaani wezi wamekurudisha nyuma kimaendeleo..!!!
Ila ulivyopoteza bikira yako kwa tamaa za bia chips na nyama choma wala hukujishutukia mwenyewe ulitafuta maji ya kujikanda..
piga kimya bhana usitupigie kelele