Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Usimtafute piga kimya wewe, kwani yeye ndio mwanamke pekee aliyopo duniani?? No Matter how good is she, she can be replaced. Everyone can be replaced. Acha kujipendekeza kwake.
Natamani nikuweke vibao ujue
😀😀😀Nishapata experience siwez fanya ujinga tena...


namtafuta siku hiyo kumkumbusha tu alipendwa 😄sio kwa ubaya na siku hiyo one Message only
 
That is me..
 
Kiukweli nimekumbuka mbali mkuu, nimewahi kumpenda mwanamke fulani na yeye alinipenda sana ila baadae alibadilika nikaona isiwe tabu nikajiengua ingawa iliniuma sana lkn time heals, saiv namwona kawaida sana .. popote ulipo ulinifanya nijue upendo wa kweli upo.
 
Bangi mbaya sana
 
kwahiyo ndo mmeachana hivyo
 
 
Usimtafute piga kimya wewe, kwani yeye ndio mwanamke pekee aliyopo duniani?? No Matter how good is she, she can be replaced. Everyone can be replaced. Acha kujipendekeza kwake.
Natamani nikuweke vibao ujue
Basi msamehe
 
Nishapata experience siwez fanya ujinga tena...


namtafuta siku hiyo kumkumbusha tu alipendwa
sio kwa ubaya na siku hiyo one Message only
Ngoja nmsaidie davinc....unampenda bado huyo mwanamke mkuu don't lie...

just amua moja mpotezee au go for her try hard this time go an extra mile.
 
Kinachotugharimu na kutuumiza ni Yale mazoea tunayokua nayo Kwa watu, I mean those best memories from them! Haki attachments za feelings zinaumiza sana. Anyways Mungu atusaidie aisee heart breaks hazizoeleki kabisa
Kabisaa
 
Wanawak wa Aina km hyo ni mademu wa mchongo wanafanya vitu ambavyo si sahih then apo baadae wanayakumbuka mazur waliokuwa wakitendewa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
😀😀😀Nishapata experience siwez fanya ujinga tena...


namtafuta siku hiyo kumkumbusha tu alipendwa 😄sio kwa ubaya na siku hiyo one Message only
Yaani nikiwaonaga watu kama wewe,wanaume wanateseka kisa wanawake natamani niwazabe vibao. Kwanini umtumie sms?? Kua alpha male...Kua katili kihisia. Amekuzingua mpotezee, kwani yeye ana kitu gani special ambacho wengine hawana??
Kama bado wampenda sema tu upewe njia za kumpata tena
👇👇
Mwanamke akikosa "attention" anachanganyikiwa, kuchanganyikiwa kunamfanya apatikane kirahisi
 
Basi msamehe
Nini kinawapata hadi mnakaa siku tatu eti hamli kisa mmeachwa?? Hua wanawapa vitu gani??
Au ni mimi tu sinaga upendo rohoni?
👇
 

Haya mambo yapo hata sielewi nimekubali kwenda na flow, nipendwe nisipendwe as long najipenda mwenyewe niko smart and healthy imetosha.

Mapenzi yalishakuwaga cursed enzi hizo, ndio maana nimeamua ku focus on business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…