Usifanye mchezo na utoto..na unaathiri sana,mi mpaka leo karibia 40 lakini huwa sina amani nimuonapo ng`ombe na ukitaka nibadilishe njia basi awepo ng`ombe mbele .. hahahahahahah

kwa hii picha ninaelewa kwa nini unaogopa ng'ombe