Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

Nasikitika waja wengi wanapotosha bangi na matokeo yake... Kila kitu kipya huja kwa namna yake, chukulia ngono kwa mfano... Wapo wanaoanza vema, wapo wanaoanza kwa kubakwa na maumivu makali na kadhalika lakini mwisho wa picha wote tunayaruka majoka.

Bangi ina matokeo mawili, stimu na mawenge, hakuna droo.

Stimu ni ile hali ya kujisikia nusu Mungu, kuwa na hisia chanya juu ya mambo yote mema na watu fulani hushushiwa ujumbe wa kimungu 'wahyi' wakiwa katika hali hii ya stimu.

Mawenge ni hali ya kujisikia hovyo, kukosa utulivu, kuhisi kama vitu vinavuruga kichwani na husababishwa na uwiano usio sawa kati ya kiwango cha bangi na nguvu aliyonayo mvutaji. Nguvu inayosemwa hapa sio ya mwili, ni nguvu ya fikra ambayo huathiriwa na mambo kadha ikiwemo hali ya kisaikolojia na chakula ulichokula.

Iwe ni wenge ama stimu, njaa iko pale pale kwani njaa ni matokeo ya ubongo kufanya kazi sana, ama ya kutafakari au ya kupambana na hisia za uoga ulopitiliza, paranoia.

Kwenye mawenge, mvutaji asipoweza kujidhibiti anaweza kupakaziwa uchizi na ikawa hivyo maisha yake yote, nasisitiza, kupakaziwa!

Gonga 'like' nikuye na nondo zaidi.

Udumu utakatifu asili!
 
Jamani bangi ni mbaya sana..kuna kaka hapa mtaani kwetu its more than 20years now anavuta bangi..miaka hiyo alikua akishavuta anaingia stoo ya nyumba yao anachukua chupa za soda tupu na za bia anazijaza kwenye kiroba then anapanda juu ya dari la nyumba yao anaanza kumpiga kila anaepita njia.!tukio baya zaidi ni pale alipovua nguo nguo zote ndani kwao na kuanza kutembea uchi wa mnyama mtaa mzima.!!

Huyo anaweza kuwa na tatizo jingine, una maana nchi ambazo majani yameruhusiwa huwa wanapigana chupa masaa 24 siku saba za wiki?

Kuna dalali mtaani kwetu alilewa akaenda ukweni na kutoa ududu na kumuonesha mama mkwe, yeye alikunywa pombe za Bruariz zilizothibitishwa na Shirika la Viwango.

Sawa mama?
 
marijuana_full_600.jpg
Not in Tanzania lkn uku kwengine kama kawaida,,,,(Dawa ya sikio)
 
nasikitika waja wengi wanapotosha bangi na matokeo yake... Kila kitu kipya huja kwa namna yake, chukulia ngono kwa mfano... Wapo wanaoanza vema, wapo wanaoanza kwa kubakwa na maumivu makali na kadhalika lakini mwisho wa picha wote tunayaruka majoka.

Bangi ina matokeo mawili, stimu na mawenge, hakuna droo.

Stimu ni ile hali ya kujisikia nusu mungu, kuwa na hisia chanya juu ya mambo yote mema na watu fulani hushushiwa ujumbe wa kimungu 'wahyi' wakiwa katika hali hii ya stimu.

Mawenge ni hali ya kujisikia hovyo, kukosa utulivu, kuhisi kama vitu vinavuruga kichwani na husababishwa na uwiano usio sawa kati ya kiwango cha bangi na nguvu aliyonayo mvutaji. Nguvu inayosemwa hapa sio ya mwili, ni nguvu ya fikra ambayo huathiriwa na mambo kadha ikiwemo hali ya kisaikolojia na chakula ulichokula.

Iwe ni wenge ama stimu, njaa iko pale pale kwani njaa ni matokeo ya ubongo kufanya kazi sana, ama ya kutafakari au ya kupambana na hisia za uoga ulopitiliza, paranoia.

Kwenye mawenge, mvutaji asipoweza kujidhibiti anaweza kupakaziwa uchizi na ikawa hivyo maisha yake yote, nasisitiza, kupakaziwa!

Gonga 'like' nikuye na nondo zaidi.

Udumu utakatifu asili!
niko nagonga hapa
 
Jamani bangi ni mbaya sana..kuna kaka hapa mtaani kwetu its more than 20years now anavuta bangi..miaka hiyo alikua akishavuta anaingia stoo ya nyumba yao anachukua chupa za soda tupu na za bia anazijaza kwenye kiroba then anapanda juu ya dari la nyumba yao anaanza kumpiga kila anaepita njia.!tukio baya zaidi ni pale alipovua nguo nguo zote ndani kwao na kuanza kutembea uchi wa mnyama mtaa mzima.!!

Acha uwongo mim nimevuta bangi tangia nikiwa kidato cha 2 hadi sasa hvi napiga bdo nipo fresh! huyo itakuwa ndugu zake wamemfanya ndondocha sijawah kuskia mvuta bange amekuwa hivyo! Rais wa kenya anapiga jani lakini yupo vizuri mbona alimpokea rais wa Marekani vizur mbona hajampiga na chupa?
 
Tatizoo.watu wengii wanatoa hukumu za matendo wanayofanya walevi wa pombe wakizani ni wavutaji wa bangi...~mlevi hugombana hujisifu sana huongea sana hupenda uzinz na maovu ila bangi ni kinyume na hayo ukiona unavuta bangi na unafanya matendo kama ya walevi wa pombe ni bora uache mara moja maana fikra zako hazzipo sahihi
 
bangi tamu sana,herb is the healing of a nation while alcohol is destruction
 
mnavyoichukulia kiumbea umbea ndivyo inavyowaperekesha inachokuonyesha ni mitakataka ndani ya ubongo wako unatakiwa urelax utaenjoy unaipelekesha wewe unawaza jambo na kupatia ufumbuzi sahihi..meditate kitu ni cha ukweli ila unavyojishtukia na kuaminishwa utakua crazy kaa ujue akili yako ushaitune kukupeleka kwenye ucrazy!!! relax kula mambo niambie uone misimamo utakayokua nayo ukiitumia positive thinking hata matokeo yake ya positive always....tuuache dhamira potofu.
 
Sasa ni wik ya pili tangu nipige ndumu yaliyonipata sitosahau ktk maisha yangu maana baada ya kuvuta nilienda kucheck mechi hapa mtaani kuna jamaa alivaa jezi ya kijani kila akipata mpira mie nashangilia Nape Nape watu wote walokuwa uwanjani wakanigeukia na kuanza kunizomea kwa aibu nikaondoka zangu mdogomdogo.&ma kweli bange mbaya
 
Habari wakuu natumaini mnaendelea vema na weekend zenu
Leo asubuhi nimeamka na kukumbuka tukio nililowai kutokea miaka 25 iliyopita kwa ufupi ilikuwa hivi……

Baada ya kutumia mti wa wazee nilihisi mtu anapapasa mapafu yangu kwa hisia kali...

Daah sitaweza sahau hii siku kamwe!
 
Back
Top Bottom