Dearany bahati
Member
- Aug 1, 2022
- 41
- 86
Eti ukweli gani Upo sahihi juu ya mtazamo wa mwanamke hapa ulimwenguni mtazamo wa kua mwanamke ni mkosefu tu ndio maana hata katika biblia imekalilika kuanzia.
Kitabu cha mwanzo ambapo mwanamke alimponza mwanaume wakapewa laana haitoshi katika biblia mwanamke imekalilika ni mwovu kwa asilimia 90% maana kila alipoonekana malaya, mzinzi, mchawi, muongo, msaliti, mkatili, mlagai, nk.
Mpaka biblia ikaona ni bora kumuasa wanaume aishi nae kwa akili mwanamke unaweza fanya chochot kwaajil ya upendo lakin yeye asijali hilo na akakuzuru kwa asilimia 100% kwaajili ya maslahi yake binafsi kama ilivo kwa Samson na Delila kwa kutambua hilo dio maana dini ya Uislamu haujampa mwanamke mamlaka yeyote katika maisha isipokua kuolewa na kumpa furaha mumewe.
Kwa maana hiyo Waislamu wamefanikiwa kuishi na mwanamke kwa akili. Unafikili yesu alikua mjinga kuchagua wanafunzi wote kua wanaume au unafikiri mungu kwanini huwa Mungu baba na sio mama na unafikiri mwandishi wa Biblia alifikiria nini mpaka hakumuweka hata mwanamke mmoja kama nabii wa kweli zaidi katika ufunuo amemkazia mwanamke kua ni kiumbe hatari wa kuiteketeza dunia.
Mwanamke ni mwema lakini anaroho ya kikatili yenye visasi vya mala kwa mala roho isiyo samehe mwanamke ni mtu asiyefikiri mbali mara kwa mara hujifilia zaidi yeye binafsi na hajali kuhusu mwingne Wala sio mtu wa kujali juu ya mapenzi ya dhati akiwa katika maslahi binafsi basi hua na roho ya ukatili hajali kuhuxu yeyote?