Je, uko DSM muda huu? Mpenzi wako yuko wapi? Unafanya Nini? Heavy Rain Challenge (HRC)

Dar es Salaam is at the same a paradise and e hell, kudadadeki kufa hakuna breki.
Maisha ni kuwa na chapaaa na demu umpendaye, achana na tutoto tunatoongelea pisi kali mfukoni ana buku Saba Mia nane alete mtoto toka Mwanza, Wana JamiiForums Mungu anawaona wallah.
Uko wapi muda huu? Mpenzi wako yuko wapi? Unafanya Nini? Mnafanya Nini?
UKIWA na demu wa mabondeni raha Sana, atahamia kwako wiki nzima.
Binafsi, Niko home, nimepika wali na samaki mkizi, huyu ni samaki mtamu Sana, mwambie Anganile akuuzie.
Namsubiri mke wangu mpenzi, mzee mwenzangu, aliyenibikiri nikambikiri, aje ale , tunywe Martin Rosso, tupige story, nimtongoze Tena (maana Jana alisema wazazi wake wamemkataza kuongea na wanaume) akikubali ntakuwa boooonge la Mshindi.
Whats about you?
Leo karudi mapemaa kuliko siku zote, sijui ndio anajiandaa kwa baridi ya usiku
 
Back
Top Bottom