suala la kubemenda ni kutembea nje ya ndoa na mwanamke mwingine au mwanaume mwingine then unafika home unamshika dogo huku ukiwa hujaoga so lile jasho ndio linapelekea hiyo hali au kuwa na mimba nyingine bila kujua wakati mtoto mwingine bado ananyonya",mada niliulizwa binafsi nikawa sina jibu la moja kwa moja nikaona nipate maoni ya wengine,Kid ana Mwaka mmoja na anatembea kama kawaida sasa je kwa manufaa ya wengine je kuna madhara gani kwa tendo hilo kwenda kavu?
Hii tunasema Mythcal Vs Reality!
Anyway,kitendo kama kitendo hakina madara yoyote. Isipokuwa,kama baba atakuwa sio mwaminifu,akatoka nje ya ndoa,halafu akapata maambukizi ya ugonjwa let's say akapata HIV,atakapofanya kitendo hicho unprotected atamwambukiza mama kisha mama naye atamwambukiza mtoto thru kunyonya.
Ni vema tukajitahidi kujua hasa wakati wa tendo mwanaume ana-emit kitu gani. Tukishajua hilo,hizi stories za vijiweni hazitatusumbua sana.Kwa sababu watu wengine wanadhani pengine sperms is a big deal,which is not true. Composition ya male ejaculate ni sperms tu,kuna
components kibao. Lakini pia hata baada ya ejaculation,kwa kawaida ni mbegu moja tu (au mara chache mbili) inayorutubisha yai.Swali:Mbegu zingine zinakwenda wapi? Jibu:Mbegu zingine zinakufa within 72-100hrs,zikisha kufa baadhi zinakuwa absorbed kama protein ya kawaida na zingine zinakuwa flashed out kama uchafu mwingine wa kawida.Tukumbuke ule mchuzi,wote unabakia kwenye v.a.g.i.n.a,ni mbegu chache sana zinazoswim kuingia kwenye mirija ya uzazi(fallopian tubes).Kwa hiyo ule mchuzi baada ya hapo unatoka nje aidha mama anajisafisha au unadischarge wenyewe,kwa kuwa vaginal surface haina uwezo wa kuabsorb sperms wala mchuzi wake.
Kwa hiyo tunapokuwa vijiweni tujitahidi kuwa makini,kuna watu wengi wanafundisha physiology ya kupotosha sana.Tujenge mazoea ya kutumia google jamani,tusipende kudanganyika kirahisi hivyo.