Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,432
Hapana mkuu lakini kwa mfano wako 4g ina nguvu kuliko 3g which is not revelevant as far as Java and kotlin are concerned!Kwani ujio wa 4g ndio mwisho wa 3g
Thank you friend, but with all due respect am not mtaalam am just like anyone! am just a person who never quit to learn new things!Kweli Duniani Huwezi Kujua Kila Kitu Ingawa Vitu Vyote Tunavovitumia Ni Maarifa Makubwa,hongera Mtaalamu
I don't think so bro! I see a bright future that kotlin possess. But to me I still believe Java will maintain it's superiority as a primary android development language!Yet another Erlang vs Elixir?
Mkuu nidadavulie vizuri, hiyo language ya warusi inatumia hairaki ipi ni procedural ama OOP? Au kuna hairaki nyingine ambayo ni mpya ambao wamekuja nayo. Maana wote twafahamu kilichosababisha C++ kuibuliwa ni mapungufu ya C kutotumia OOP. Na kama watakuwa wanatumia OOP I bet itatumika urusi tu sababu za kisiasa ya kwamba nami ni taifa kubwa najitegemea kwa kila kitu.Habari wanajamvi?
Ni katika jiji la St petersburg huko urusi ambapo team ya programmers wa kampuni ya Jetbrains walipojaribu kutumia mapungufu ya Java na kuanzisha programming language ambayo itapunguza mzigo kwa programmer, na hapa ndipo kotlin ilipozaliwa!!
Project ya Kotlin ilianza tokea 2011 ila mnamo mwezi huu March mwaka huu "a preview version of kotlin programming language" ilitolewa, mnamo mwaka huu April 25, kotlin programming language walileta version nyingine na ikijulikana kama "stable reliese" na mpaka stage hii kotlin ilikua inaoperate chini ya java japo ilikua haijapa support ya google kama "official android development language".
Haikuishia hapo May 17 mwaka huu(2017), kotlin programming language iliidhinishwa rasmi na kupewa support kama language inayoweza kutumiwa kwenye ku-develop software za android!!
Mwanzoni Java na C++ ndizo zili dominate katika uwanja wa android development, na java kuwa "the major programming language for android software development"!
Kiuhalisia kotlin programming language ina sifa karibu zote za Java kwa lugha rahisi tunaweza sema imetoka kwenye ubavu wa Java, ina run kwenye java vitual machine (JVM) kama ilivyo java, na inaweza kuoperate alongside with Java! na mwengine mengi!!
Synatx ya java!
View attachment 512541
Syntax ya Kotlin
View attachment 512543
Kama vile C++ ilivyozaliwa kutoka kwa C programming language hivi ndivyo Kotlin imezaliwa kutoka kwa Java! Je kotlin anaweza compete na mkongwe mwenye mabavu ya simba anayeitwa Java?
My take: Japo kotlin unaweza andika alongside java, kiuhalisia ni ngumu java kupotezwa na kotlin as java ina large code base na software zaidi ya 90% za android zimeundwa kwa java! ni sawa mtu aseme C programming ipotee kisa kuna C++!! Nadhani July 27 mwaka huu java 9 itapotoka watakua wamejifunza kwa ujio wa kotlin na tutarajie mabadiliko mengi!!
Imeandikwa kwa msaada wa mtandao.
Mkuu nidadavulie vizuri, hiyo language ya warusi inatumia hairaki ipi ni procedural ama OOP? Au kuna hairaki nyingine ambayo ni mpya ambao wamekuja nayo. Maana wote twafahamu kilichosababisha C++ kuibuliwa ni mapungufu ya C kutotumia OOP. Na kama watakuwa wanatumia OOP I bet itatumika urusi tu sababu za kisiasa ya kwamba nami ni taifa kubwa najitegemea kwa kila kitu.
I mean they will co-exist just fine like Elixir and Erland and beautifully confuse newcomers πI don't think so bro! I see a bright future that kotlin possess. But to me I still believe Java will maintain it's superiority as a primary android development language!
I also believe, with java 9, significant changes will be introduced!!
Wamechafua sana ramani kuiweka official hiyo, sasa hivi kila kazi ya Android utakuta "5 years Kotlin experience" language moja ilikuwa shida kukeep up na API changes za kila siku sasa ndo itakua ovyo kabisa.
Ni kweli kabisa, hata mimi naikubali java! What i see wale waliokua wameishindwa java wataangukia kwa kotlin vivyo hivyo wale waliokua hawaipendi java ila wakawa hawana option zaidi ya kuisoma au kuitumia java hawa nao wataamia kwa kotlin!I mean they will co-exist just fine like Elixir and Erland and beautifully confuse newcomers π
By the way, I think Java is still more attractive to me just like C++ is to me, compared to Ruby lol!