Je udongo una siri gani kuhusu usafi?

Je udongo una siri gani kuhusu usafi?

hata mimi

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
1,356
Reaction score
1,447
Yawezekana heading haijaeleweka ila ufafanuzi utaeleweka vizuri tu.

Awali ya yote nitoe tahadhari kama wewe una tatizo la kuungulika au kutofurahishwa na uislamu na mambo yake basi ishia hapa kusoma.

Nimetahadharisha hivyo kwasababu rejea nitakazoleta hapa chini ni za kiislamu tupu. Haya sasa ngoja nitolee ufafanuzi kwanini nauliza siri ya udongo katika maswala ya usafi

Kwanza katika swala la udhu mtu akikosa maji anachukua udhu kwa udongo safi (tayammam). Hii kitu huwa najiuliza sana ni kwanini

Pili swala la najisi mfano mbwa na nguruwe wakilamba vyombo au sehemu yoyote mtu anatakiwa asafishe kwa kuambatanisha na kusugua kwa udongo safi

Tatu ni maelezo yanayoonesha kuwa Mtume Muhammad alikuwa baada ya kujisaidia akishajisafisha kwa maji vizuri kabisa alikuwa akisugua chini kwenye udongo kidole alichotumia kujisafishia haja
 
Hakikisha una safety gear kabla hujaingia kwenye comment section , get ready for toxic comment
Screenshot_20220618-232515.png
 
Mnyama wetu pendwa afu chombo kilichotumikia mnaosha na udongo daaa mtajua wenyewe lakini nachojua nyama ni tamu
 
Yawezekana heading haijaeleweka ila ufafanuzi utaeleweka vizuri tu.

Awali ya yote nitoe tahadhari kama wewe una tatizo la kuungulika au kutofurahishwa na uislamu na mambo yake basi ishia hapa kusoma.

Nimetahadharisha hivyo kwasababu rejea nitakazoleta hapa chini ni za kiislamu tupu. Haya sasa ngoja nitolee ufafanuzi kwanini nauliza siri ya udongo katika maswala ya usafi

Kwanza katika swala la udhu mtu akikosa maji anachukua udhu kwa udongo safi (tayammam). Hii kitu huwa najiuliza sana ni kwanini

Pili swala la najisi mfano mbwa na nguruwe wakilamba vyombo au sehemu yoyote mtu anatakiwa asafishe kwa kuambatanisha na kusugua kwa udongo safi

Tatu ni maelezo yanayoonesha kuwa Mtume Muhammad alikuwa baada ya kujisaidia akishajisafisha kwa maji vizuri kabisa alikuwa akisugua chini kwenye udongo kidole alichotumia kujisafishia haja
Yaani Muhammad alichamba na udongo?

Astakhafirruh...!
 
Back
Top Bottom