Je, uchawa utaushinda umma?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,100
Reaction score
13,698
Kwa machawa, leo ni siku muhimu sana. Anayewafuga kajitutumua asijue kitakachofuatia. Wapo wanasherehekea wasijue watalia soon.

Samia hawezi kutobowa. Naamini machawa na awafugaye watatobolewa. Ni suala la muda. Ukitaka kujua hiii, angalia spidi ya mashehetani ya kutishia wengine ilivyozimika kabisa.

Madai yake ya uongo hayawezi kumuokoa na kurejesha imani kwake. Ameshindwa vibaya sana kiumbe huyu wa ajabu aliyenyimwa busara na maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…