Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,350
Profesa Kabudi kasema kuwa Sheria mpya hazitaathiri Mikataba ya madini ya zamani, na ifahamike mikataba hiyo inahusu Dhahabu miche ( Gold Bars) pamoja na mchanga (Makinikia).
Je Kwa kuwa ripoti ya Mruma na Osoro, vimeonyesha kuwa Tumeibiwa Matrilioni mengi sana tangu waanze kuchimba. Na kwa kuwa sasa tunao ushahidi usio na shaka kuwa kweli walikuwa wakituibia kinyume cha mikataba,
1. Kuna umuhimu gani wa kukaa mezani kunegotiate deal mpya na wawekezaji wezi, wasio waaminifu, waliovunja masharti ya mkataba kwa kutuibia dhahabu na madini mengineyo yenye thamani ya matrilioni kwa zaidi ya miaka 10?.
2. Kwa nini serikali isivunje mkataba mara moja maana tayari kwa Wawekezaji hao kitendo cha kutuibia tayari wanakuwa wameshavunja mkataba kwa upande wao?.
3. Je Ni lini Serikali itawashitaki hawa ACACIA kwa kubreach contract ili walipe pesa zetu?.