je tutafika wapi ikiwa maendeleonjimboni tunapata mbungewetu akiwa waziri tu?.

kituro

Senior Member
Dec 25, 2010
176
15
ndugu katika jf, nadhani linafahamika kuwa majimbo mengi ambayo wabungewake ni mawaziri, yanamaendeleo zaidi kuliko yale ambayo siyo. na ikitokea nafasi tuijuayo kashika mtu wa kweno hapo ndo usiseme, hata njia ya kwendea kisimani atakuja au darasa la chekechea atakuja kufungua kiongozi mkubwa. mie naomba kuuliza, majimbo hayo huwa yanakuwa yanamatatizo zaidi au tuwetunampa mbunge miaka 5 akikosa uwaziri ndani ya hiyo miaka basi msimu ujao kura zisitoshe kwake!
 
Back
Top Bottom