Ni kama vile hujaitendea haki maana ya Revenue kwa kuihusisha na rushwa!Leo nimepanda Gari kutoka sehemu fulani mkoa wa Pwani kuelekea Dar es Salaam
Nilichokiona Ni Trafik police anapiga gari mkono Kama ishara ya kusimamisha gari.
Dereva anaweka mbele halafu konda anashuka anaelekea walipokaa trafick police
Hakuna Askari anayekuja kufanya ukaguzi, konda anarejea na Safari inaendelea.
Nikawa mdadisi kwa dereva, alichonijibu Ni kuwa katika vituo vinne tulivyopita Kila kituo unatakiwa kulipia 5000 ambayo hupewi risiti
Je fedha hii ingeingia serikalini si tungeboresha mapato? Mana kwa siku ni mpunga mrefu !
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukuelewa aliposema hupewi risiti? Au serikali inajihusisha na “black market”?Ni kama vile hujaitendea haki maana ya Revenue kwa kuihusisha na rushwa!
Ha ha haaa! Yohana bhana. Ulivyoona neno revenue ukahisi ni government revenue?Ni kama vile hujaitendea haki maana ya Revenue kwa kuihusisha na rushwa!
Usipopewa risiti hiyo ni rushwa siyo revenue!Hukuelewa aliposema hupewi risiti? Au serikali inajihusisha na “black market”?
Hahahaa....... Kwani revenue ni nini mkuu tusaidie tusiosoma Frank Wood?Ha ha haaa! Yohana bhana. Ulivyoona neno revenue ukahisi ni government revenue?
Hivi nawe una bichwa bovu kama la yule jamaa?
Revenue ni mapato.Hahahaa....... Kwani revenue ni nini mkuu tusaidie tusiosoma Frank Wood?
Hahahaa....... Una uhakika income itokanayo na mauzo ya mbege kiuhasibu ya hiyo Bcom yako mnaita Revenue?Revenue ni mapato.
Polisi wamegeuza kituo cha ukaguzi kuwa kituo cha mapato. Hakuna paliposemwa mapato ya serikali.
Hata wewe ukiwa na biashara yako ya kuuza komoni utapata revenue.,
Nyinyi ndio wasaidizi wa bichwa. No wonder nchi hii inaendeshwa kibwege.
YohanaHahahaa....... Una uhakika income itokanayo na mauzo ya mbege kiuhasibu ya hiyo Bcom yako mnaita Revenue?
TRA - Traffic Revenue Authority.Leo nimepanda Gari kutoka sehemu fulani mkoa wa Pwani kuelekea Dar es Salaam
Nilichokiona Ni Trafik police anapiga gari mkono Kama ishara ya kusimamisha gari.
Dereva anaweka mbele halafu konda anashuka anaelekea walipokaa trafick police
Hakuna Askari anayekuja kufanya ukaguzi, konda anarejea na Safari inaendelea.
Nikawa mdadisi kwa dereva, alichonijibu Ni kuwa katika vituo vinne tulivyopita Kila kituo unatakiwa kulipia 5000 ambayo hupewi risiti
Je fedha hii ingeingia serikalini si tungeboresha mapato? Mana kwa siku ni mpunga mrefu !
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwiga matusi ya nini hapa siyo Ufipa mnakoishi kwa matusi kama salamu.Yohana
Bcom ndiyo nini? Unadhani neno revenue limemilikiwa na waliosomea bcom? Mbwa wewe.Fungua hilo bichwa lako uongeze uelewa.
Haya maswali yako na upupu kampelekee bichwa huko. Bila shaka mtaelewana tu maana mmefanana mibichwa hiyo.Mbwiga matusi ya nini hapa siyo Ufipa mnakoishi kwa matusi kama salamu.
Nimekuuliza income itokanayo na mauzo ya mbege ni Revenue?!........ Kujibu hili swali wala huitaji kushupaa na kutukana!
Ukishindwa sikushangai kuita rushwa ni Revenue!
Wewe bichwa umelijuaje au umelelewa kwenye chumba kimoja ukawa unasikiliza !Haya maswali yako na upupu kampelekee bichwa huko. Bila shaka mtaelewana tu maana mmefanana mibichwa hiyo.
Yohana bhanaWewe bichwa umelijuaje au umelelewa kwenye chumba kimoja ukawa unasikiliza !