Naomba link ya movieWakuu salaam
Telegram binafsi naikubali sana hasa kwa upande wa movie matumizi yangu kwenye telegram, 85% kudownload movie , 10% Music na 5% kuchati (Sina wadau wengi wanaotumia telegram)
To the point
Kuna kitu bado sijaelewa kama telegram wanawalipa Hawa users wake hasa wanao miliki channel za movie ,unakutana channel inamuvi yeyote utakayo itafuta ya kila size (1080p,720p & 480p)
,Sasa nikawaza huyu mtu anapa faida kweli! maana anatumia bando ku upload muvi yeye je anapata faida gani?
Nauliza hivi nataka kujua Ili kama ni fursa tuichangamkie nayo ,maana nimeona Hadi channel za wabongo zipo zenye muvi kila aina na zenye mb nyingi japokuwa na huu mgao wa bando
karibu
Link za social networks WhatsApp & Telegram group hazina tatizo.Wanaruhusu kutuma Link! ,kabla sijakutumia
Hawawezi kuwa wanawalipa kwa piracy ya kazi za watu.Wakuu salaam
Telegram binafsi naikubali sana hasa kwa upande wa movie matumizi yangu kwenye telegram, 85% kudownload movie , 10% Music na 5% kuchati (Sina wadau wengi wanaotumia telegram)
To the point
Kuna kitu bado sijaelewa kama telegram wanawalipa Hawa users wake hasa wanao miliki channel za movie ,unakutana channel inamuvi yeyote utakayo itafuta ya kila size (1080p,720p & 480p)
,Sasa nikawaza huyu mtu anapa faida kweli! maana anatumia bando ku upload muvi yeye je anapata faida gani?
Nauliza hivi nataka kujua Ili kama ni fursa tuichangamkie nayo ,maana nimeona Hadi channel za wabongo zipo zenye muvi kila aina na zenye mb nyingi japokuwa na huu mgao wa bando
karibu
Hapana ila hizo channels hazina uhalisia na huu uzi sijaona hizo movies za 1080pChannel za movie ,do you have problem?....au umekutana na porn mkuu
Ok! Channel nilituma baada ya mdau hapo juu kuniomba link na sio kuthibisha Kuna movie za 1080p , channel za movie zenye 1080p zipo nyingi tu.Hapana ila hizo channels hazina uhalisia na huu uzi sijaona hizo movies za 1080p
Poa kiongozOk! Channel nilituma baada ya mdau hapo juu kuniomba link na sio kuthibisha Kuna movie za 1080p , channel za movie zenye 1080p zipo nyingi tu.
Mwisho Uzi wangu ulihusu Kutaka kujua kama telegram wanawalipa wenye channel za movie.
Hakuna malipo ya mojakwamoja wanayoweza kupata labda waweke matangazo kwenye hzo channels zaoWakuu salaam