Ccm chama changu
Member
- Mar 12, 2019
- 31
- 31
Tangu Mama ameingia madarakani amerejesha matumaini ya ajira kwa vijana wa kitanzania kulinganisha miaka 6 kabla yake. Hii Ni baada ya miaka yake miwili kuajiri kada ya elimu na afya.
Na hili limekuwa likifanyika miezi Kama hii kwa Tamisemi kutangaza nafasi hizo ambapo waombaji huomba na mpka mwezi June basi huweza kupangiwa vituo vyao vipya.
Kilicho nifanya niandike hapa nikuona huu ni mwezi March na sioni tamko au dalili za uwepo wa ajira kwa mwaka huu kwani ajira hizo miezi Kama hii huanza kwa matamko kisha hutangazwa mitandaoni.
Wajuzi wa mambo, je, mwaka huu tuwe na matumaini au ni mpaka mwakani ambapo chama changu kitakuwa kinajianda na uchaguzi wa serikali za mitaa ndipo waje na hadaa za ajira?