Je, stail hii ni Ujanja au Ushamba?

Joined
Apr 26, 2016
Posts
64
Reaction score
25
Naombeni tujadilia mada hii vijana wenzangu, kwa Picha hii inatufundisha nini haha. .............
 
MTU anaejielewa havai hivo,pia ni umri unachangia,binafsi nshafanya hayo na uhuni mwingi tu unaofanana na huo kias nliwaudhi ndg zangu, lkn kwa umri huu!! hata nikiwaona vijana wamevaa hivo nachukia,cpendi KBS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…