Je! simu hii Galaxy s3 ni feki ?

Joined
Aug 6, 2014
Posts
39
Reaction score
3
Guys natakakununua Samsung Galaxy s3 kwa mtu ambayo INA costom ROM CM11 sasa kila nikijaribu kuingiza code tofauti tofauti kama *#0*# or *#9090# hazileti matokeo yoyote he nikitu chakawaida na je nitawezaje kuhakiki kama ni origin or fake.....?
Plz plz I need yo help guys.
 

Nenda jukwaa la science en tech weka huo uzi wa tag watu kama akina chief mkawaa na wengine they will help u fasta na wengne wengi utafanikiwa na watakushaur poa sana
 

Ndugu ninaweza nikasema kuwa nina uhhakika hiyo simu ni original, sidhani kama clones zinaweza kuingia custom rom. Maana kwenye kuweka custom rom kuna procedure ambazo mtu akiwa na clone anaweza akafail. Na hizo USSD Codes kwa upande wangu ninavyojua zinatumiwa kwa phone hardware testing tu, na hizo ziliweka kwenye Stock ROM kwa lengo maalum. Kuwa na amani na ununue tu hiyo simu.
 

Hebu nenda play store udownload app inaitwa genuine samsung galaxy s3, afu ukisha iinstall utasoma hizo specs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…