Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
CCC anawaambia wafanye mapema maamuzi kabla dirisha dogo kuisha.....Wakuu,
Wakati taarifa zikieleza kuwa Mchezaji ‘KIRAKA’ wa Simba SC, Nassoro Kapama akiwa katika hatua za mwisho kutemwa na uongozi wa klabu hiyo, Leo Jumatano (Januari 03) kutafanyika kikao cha kuwajadili pamoja na mwenzake Clatous Chama.
Wawili hao walisimamishwa na uongozi kutokana na kile kinachodaiwa walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu, hivyo leo ndiyo hatima rasmi itafahamika kama wanarudi kikosini au wanaondolewa jumla
Hata hivyo, kutokana na Chama kuwa nchini kwao Zambia na timu ya Taifa ya nchi hiyo inayoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa Afrika ‘AFCON 2023’ kikao hicho kitafayika kwa kutumia teknolojia ya video ya Zoom.
Chanzo cha uhakika kutoka ndani ya Simba SC, kinasema: “Simba kwa sasa inahitaji nidhamu kwa kila mfanyakazi, ili kurejea kwenye ushindani na uwanjani kuonyesha kiwango cha juu, kitakachowapa mashabiki furaha na siyo vidonda vya tumbo.
Angalau ujio wa kocha unaanza kuwarejesha kwenye mstari, sasa hatutaki ndani ya timu kusikike mara mchezaji huyu kafanya hivi, mara yule kile, hayo kwa sasa yanakwenda kufikia mwisho.”
Kuhusu Chama, Leo Jumatano kikao kitaamua kama msimu huu uwe wa mwisho kwake baada ya kutumikia timu hiyo tangu alipojiunga nayo msimu 2018, akitokea klabu ya Power Dynamos na baadae kutimkia RS Berkane na hakuchukua muda akarudi tena Tanzania, sijafahamu nini kitatokea, tusubiri tuone.
Wakati huo huo, baada ya kumaliza kikao cha kuwajadili Chama na Kapama ambaye chanzo kinasema tayari kwa asilimia kubwa hana maisha ndani ya timu hiyo na leo ni kama kumalizia tu, kamati ya usajili itakutana kujadili ni wachezaji gani wanapaswa kuwaongeza na kuwaondoa ndani ya timu.
“Kabla ya dirisha kufungwa kila kitu kitakuwa sawa, pia watakaondoka tunatoa nafasi ya wao kusaka timu za kuzichezea mapema,” amesema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo pia umeongea point mkuuMbona Viongozi wanaoleta wachezaji wabovu na kununua wachezaji wazee(wa kustafia Simba) hatuoni wakisimamishwa au kujadiliwa janja janja Yao.?Simba inajiita timu kubwa ila viongozi hadi Leo wameshindwa hata kusimamia na kuhimiza mashabiki kuchangia hata uwanja wa timu siyo wa mazoezi.Simba anzeni na Viongozi ndiyo mje Kwa wachezaji mkitaka kuifanya Simba imara.
Hii ni hoja ijadiliwe.Mbona Viongozi wanaoleta wachezaji wabovu na kununua wachezaji wazee(wa kustafia Simba) hatuoni wakisimamishwa au kujadiliwa janja janja Yao.?Simba inajiita timu kubwa ila viongozi hadi Leo wameshindwa hata kusimamia na kuhimiza mashabiki kuchangia hata uwanja wa timu siyo wa mazoezi.Simba anzeni na Viongozi ndiyo mje Kwa wachezaji mkitaka kuifanya Simba imara.
Walevi wamebadili baaPale SIMBA ninachojua mimi Ni Wachezaji Walevi tu ndo huwa Wanaachwa..!
Kuna WALEVI wawili wwaliokuwepo pale waliachwa.
Unamaanisha chama gani mkuu. CUF au CDM?Wakuu,
Wakati taarifa zikieleza kuwa Mchezaji ‘KIRAKA’ wa Simba SC, Nassoro Kapama akiwa katika hatua za mwisho kutemwa na uongozi wa klabu hiyo, Leo Jumatano (Januari 03) kutafanyika kikao cha kuwajadili pamoja na mwenzake Clatous Chama.
Wawili hao walisimamishwa na uongozi kutokana na kile kinachodaiwa walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu, hivyo leo ndiyo hatima rasmi itafahamika kama wanarudi kikosini au wanaondolewa jumla
Hata hivyo, kutokana na Chama kuwa nchini kwao Zambia na timu ya Taifa ya nchi hiyo inayoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa Afrika ‘AFCON 2023’ kikao hicho kitafayika kwa kutumia teknolojia ya video ya Zoom.
Chanzo cha uhakika kutoka ndani ya Simba SC, kinasema: “Simba kwa sasa inahitaji nidhamu kwa kila mfanyakazi, ili kurejea kwenye ushindani na uwanjani kuonyesha kiwango cha juu, kitakachowapa mashabiki furaha na siyo vidonda vya tumbo.
Angalau ujio wa kocha unaanza kuwarejesha kwenye mstari, sasa hatutaki ndani ya timu kusikike mara mchezaji huyu kafanya hivi, mara yule kile, hayo kwa sasa yanakwenda kufikia mwisho.”
Kuhusu Chama, Leo Jumatano kikao kitaamua kama msimu huu uwe wa mwisho kwake baada ya kutumikia timu hiyo tangu alipojiunga nayo msimu 2018, akitokea klabu ya Power Dynamos na baadae kutimkia RS Berkane na hakuchukua muda akarudi tena Tanzania, sijafahamu nini kitatokea, tusubiri tuone.
Wakati huo huo, baada ya kumaliza kikao cha kuwajadili Chama na Kapama ambaye chanzo kinasema tayari kwa asilimia kubwa hana maisha ndani ya timu hiyo na leo ni kama kumalizia tu, kamati ya usajili itakutana kujadili ni wachezaji gani wanapaswa kuwaongeza na kuwaondoa ndani ya timu.
“Kabla ya dirisha kufungwa kila kitu kitakuwa sawa, pia watakaondoka tunatoa nafasi ya wao kusaka timu za kuzichezea mapema,” amesema
Sent using Jamii Forums mobile app
Triple C mwamba wa Lusaka the big brain playerUnamaanisha chama gani mkuu. CUF au CDM?