T The third Member Joined Nov 21, 2011 Posts 45 Reaction score 1 Feb 11, 2012 #1 Kauli mbiu çcm na serikali yake maisha bora kwa kila mtanzania tuliyo haidiwa tume kwisha yapata au wana subiri uchaguzi ufike waje na kauli mbiu nyingine ili kutu danganya ili wapate kura za watanzania?
Kauli mbiu çcm na serikali yake maisha bora kwa kila mtanzania tuliyo haidiwa tume kwisha yapata au wana subiri uchaguzi ufike waje na kauli mbiu nyingine ili kutu danganya ili wapate kura za watanzania?
E EL MAGNIFICAL JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 938 Reaction score 125 Feb 11, 2012 #2 hata wao wenyewe wanashangaa ni kwanini waliahidi !
B BMT JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 574 Reaction score 222 Feb 12, 2012 #3 staki hata kckia kaul mbiu za ksanii hzi mm,jk amalze mda wake aondoke watanzania wameshakata tamaa
Jumanne Mkota JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 2,994 Reaction score 1,770 Feb 12, 2012 #4 wababaishaji tu. tunarudi nyuma kwa kasi ya 1500km per hour