aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,673 Reaction score 3,740 May 9, 2023 #1 Jamaa toka apate nafasi mwaka wa pili sasa simba inaambulia patupu Inawezekana anagundu na hivi wanasema anavinasaba vya yanga
Jamaa toka apate nafasi mwaka wa pili sasa simba inaambulia patupu Inawezekana anagundu na hivi wanasema anavinasaba vya yanga
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,825 Reaction score 113,411 May 9, 2023 #2 wanathiimba
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,673 Reaction score 3,740 May 9, 2023 Thread starter #3 Half american said: wanathiimba Click to expand... Mwanagundu
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,825 Reaction score 113,411 May 9, 2023 #4 aka2030 said: Mwanagundu Click to expand... na gundu analo OG
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 23,011 Reaction score 32,907 May 9, 2023 #5 Kabisa, laana ya manara....inawatafuna makolo
K Kigera Kwetu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,563 Reaction score 1,400 May 9, 2023 #6 Labani og said: Kabisa....laana ya manara....inawatafuna makolo Click to expand... Ndio mpira ulivyo, uwezi shinda milele. Kuna wakati kiwango kitashuka tu....
Labani og said: Kabisa....laana ya manara....inawatafuna makolo Click to expand... Ndio mpira ulivyo, uwezi shinda milele. Kuna wakati kiwango kitashuka tu....
aka2030 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 2,673 Reaction score 3,740 May 9, 2023 Thread starter #7 Labani og said: Kabisa....laana ya manara....inawatafuna makolo Click to expand... Hamna cha manara wala nini uwekezaji wao ni wa mbambamba
Labani og said: Kabisa....laana ya manara....inawatafuna makolo Click to expand... Hamna cha manara wala nini uwekezaji wao ni wa mbambamba
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 8,193 Reaction score 9,883 May 9, 2023 #8 aka2030 said: Jamaa toka apate nafasi mwaka wa pili sasa simba inaambulia patupu Inawezekana anagundu na hivi wanasema anavinasaba vya yangaView attachment 2615520 Click to expand... Your browser is not able to display this video.
aka2030 said: Jamaa toka apate nafasi mwaka wa pili sasa simba inaambulia patupu Inawezekana anagundu na hivi wanasema anavinasaba vya yangaView attachment 2615520 Click to expand... Your browser is not able to display this video.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,220 Reaction score 71,796 May 9, 2023 #9 Labani og said: Kabisa, laana ya manara....inawatafuna makolo Click to expand... Yani yeye mwenyewe mjaa laana atalaani nani?? Labda awalaani nyie Majambazi fc
Labani og said: Kabisa, laana ya manara....inawatafuna makolo Click to expand... Yani yeye mwenyewe mjaa laana atalaani nani?? Labda awalaani nyie Majambazi fc