Je, Ruge Mutahaba ni Mtanzania?

Status
Not open for further replies.


kwani ni kabila gani huyu Bwana?
mi najua kuwa ni Mhaya, na Wahaya ni Watanzania.
je wewe mwenzangu hofu yako ni ipi?
 
Wewe una ushahidi wa kutosha jamaa siyo mtanzania? Hizi mada za kubaguana sijui zinawasaidia nini wanaozileta. Dawa ya matatizo yangu hata siku moja haipatikana kwa kumfukuzisha mtu nchi. Italetwa na kutumia kichwa changu kupambana na yanayonizunguka.
 

Ndahani, umeelewa nilichoandika? Mimi nimeuliza kama ni Mtz kutokana na uzaliwaji Marekani. Kwa hiyo, sina uhakika kama ni Mtz au la.

Mimi kuhoji uraia wake hauna uhusiano wowote na matatizo yangu. Hoja yangu ni katika kuangalia jinsi gani system yetu ya uraia inavyofanya kazi.
 
kwani ni kabila gani huyu Bwana?
mi najua kuwa ni Mhaya, na Wahaya ni Watanzania.
je wewe mwenzangu hofu yako ni ipi?

Eti kweli? Kwa kuwa kazaliwa na wazazi wahaya basi kunamfanya yeye mhaya pia, hata kama kazaliwa nje ya nchi.

Ninawajua baadhi ya watanzania ambao wamezaa watoto wao Marekani, halafu watoto hao wakabakia na uraia wa huko. Je nao ni watanzania pia?

Fikiria!
 
Ze tamu ingefunguliwa tu maana members wao wengi wamekuja humu!!
 

unacho kiandika kama ukijui.ruge mtahaba
unamjua prof mtahaba
huyo ndio baba yake mzazi na ni ma prof wakubwa hapo chuo kikuu UDSM.
maisha na familia ya ruge wamekaa sana kama ulaya na cv unayo hipata hapo.
 
Hilo ungelifanya mapema hivi sasa halina mshiko. Hata tukikuta ni mmarekani tutafanya nini wakati maji ya meisha mwagika?
Kahuna shida yangu. Swala ni kuhoji haki ya Ruge kuishi na kufanya kazi Tanzania, kama vile tunavyohoji uraia wa baadhi ya watu tunaowatilia mashaka uhalali wao wa kuishi na kufanya kazi Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…