Barbarosa said:
↑
Lkn Tanzania yetu ukiondoa Raisi wa nchi, hakuna ambaye hawezi kukamatwa, au niseme hakuna ambaye akikamatwa kutakuwa na
uprisingkama Kenya, leo hii Raila Odinga akishikwa patakuwa hapatoshi Kisumu, kwa kifupi hakuna Mtanzania ambaye yuko tayari kufanya fujo
kwa ajili ya kumtetea Mwanasiasa!