Nimeona kwenye vyombo vya Habari kwamba waandamanaji wanaomuunga mkono Kiongozi wa Upinzani huko Kenya Raila Odinga wamefanya fujo kwa kutumia kile wanachokiita haki yao ya kidemokrasia kundamana na kuharibu mali za watu, sasa je swali kwa wana demokrasia wapendwa ni nani atalipa mali za hawa Wafanyabiashra zilizoharibiwa na kuibiwa? Au ikifika hapa ninyi mnajitoa kwenye kutetea hii inayoitwa demokrasia?
Je, ni Raila Odinga pmj na ninyi wanademokrasia mnaokaa nyuma ya key board na kuchochea maandamamo kwamba ni demokrasia ndiyo mtakaowalipa hawa Wafanyabishara?
Wafanyabiashara wakiangalia Mali zao zilizoharibiwa na nyingine kuibiwa na Wanademokrasia (Picha kwa hisani ya gazeti ya Kikenya!)
Wote waliokufa na waliopoteza mali ni collateral damage (Wahanga) wa mapambano ya kupigania demokrasia pana na tume huru ya uchaguzi. Hakuna mapinduzi a.k.a mabadiliko yasiyokuwa na sacrifices ili waliowengi wanufaike.
Tafuta definition ya "collateral damage"; ndio jibu, periodHiyo inamsadiaje Mfanyabiashara aliyekopa fedha zake kuanzisha biashara ambye analipa kodi na kuajili watu ambao anawalipia kodi? unaweza kuniambia? ni nani atamlipa gharama yake?
Wana demokrasia wako katika lengo lao la uongozi tu yanayotokea kuharibu mali, pamoja na kuibiwa vitu, kuuwawa, kujeruhiwa watu ni vitu vidogo kwao mkuuSasa hapa wana demokrasia wapo upande gani? Wa walioiba na kuharibu Mali au kwa waliharibiwa na kuibiwa mali?
Kisu kwenye mfupa.Muulize rafiki yake baba Jesca
Kama huwezi kuelezea, sepa!