Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Nimeona kwenye vyombo vya Habari kwamba waandamanaji wanaomuunga mkono Kiongozi wa Upinzani huko Kenya Raila Odinga wamefanya fujo kwa kutumia kile wanachokiita haki yao ya kidemokrasia kundamana na kuharibu mali za watu, sasa je swali kwa wana demokrasia wapendwa ni nani atalipa mali za hawa Wafanyabiashra zilizoharibiwa na kuibiwa? Au ikifika hapa ninyi mnajitoa kwenye kutetea hii inayoitwa demokrasia?
Je, ni Raila Odinga pmj na ninyi wanademokrasia mnaokaa nyuma ya key board na kuchochea maandamamo kwamba ni demokrasia ndiyo mtakaowalipa hawa Wafanyabishara?
Wafanyabiashara wakiangalia Mali zao zilizoharibiwa na nyingine kuibiwa na Wanademokrasia (Picha kwa hisani ya gazeti ya Kikenya!)