Je rafiki yako peke yako na msiri yupo?

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
9,733
2,000
Ndugu wana jamvi,
leo nimeona niilete hii mada hapa kwenu sijui kama kipindi cha nyuma ishajadiliwa au vipi?
mada yangu ni kuhusu rafiki yangu msiri wangu,
mimi nimekuwa nikipingana na watu kuhusu neno hilo mtu anakwambia huyu ni rafiki yangu wa kweli na ni msiri wangu,mimi kukataa kwangu ni kila rafiki ana rafiki yake wa ukweli yaani jua uliekua nae wewe na yeye anae kama hivyo wewe, sasa hapo ndipo unapoona umefanya jambo la siri ukameleza yule unaeona ni rafiki yako kumbe nae anae wake kamueleza,ghafla linakua hadharani,hapa nataka kusema tukiwa na marafiki tuwe na rafiki wa kusaidiana lakini wa siri si kweli!
Haya ni mawazo yangu sijui yako yanasemaje,
Je rafiki wa kweli na wako peke yako na msiri yupo?
Nawasilisha!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom