OMBUDSMAN mtoto
Member
- Sep 28, 2012
- 87
- 32
Kwamba yale maandamanona malumbano ya wana Mtwara na sasa Taifa zima kuingia katika mjadala juu ya uvumbuziwa gas yameungwa mkono na baadhi ya Wanasiasa wa upinzani na hata wachache wa CCM ni kweli. Kwamba Mkoawa Mtwara na mingineyo mingi wana umaskini iliokithiri ukilinganisha na minginenchini ni kweli pia. Hata hivyo, kwamba huyu Muhongo - Mwanadhuoni wa Chuo Kikuukutokuwa na uzoefu katika uchafu wa siasana mienendo ya makucha ya makaburu katika kutawala nchi changa / zinazoendelea;yeye na wengine wengi wataendelea kushughulika na moshi tu maana hawajaweza kugunduani wapi hasa moto umewashwa na kusudi la kuwasha moto huu ni nini?
Naombeni contactshuyu Waziri Mwanasayansi Muhongo ili nimwandikie mwenyewe kwa undani haya ambayo sisi wenye uzoefu tumeyabaini live na mtu yeyote alisilete mzaha katika hiitaarifa ambayo nitawapa Usalama wa Taifa na moja kwa moja kwa Rais Kikwete kama Mkuu wa nchi anayetakiwakuingilia kati kwa kuongea na wananchi huko Mtwara na kuhutubia Bungeni wa uwazizaidi maana madhara na nguvu zilizoko katika hili sakata yako juu sana zaidi yauwezo wa TPDC au Wizara ya Nishati na Madini. Nitaandika bila kuzunguka.
Waingerezawamedhamiria kuendelea kututawala ili mwishoni wao ndio wafaidi hii rasilimaliya gesi asilia iliyovumbuliwa nchini na nchi jirani kusini. Kwa kutumia mfumowao wa siku zote wa divide & rule wameanzakwa kutulisha dhamira ya "tutapigana mpaka kieleweke, maana sisi tumekuwa nyumakuliko wengine; kwanza wenye rasilimali tufaidi kabla ya wengine(Taifa)". Aliyewasha moto ni Balozi wa Uingerezanchini Bibi Diane Corner. Huyu mama aliyepitiakatika Chuo cha Ulinzi cha NATO mwaka 2000 ni mzoefu katika ama miradi ya kuwashamioto au kuizima baada ya vita kwa makubaliano ya kuanza kufaidi rasilimali zanchi changa. Kati ya miradi yake ya hivikaribuni iliyofanikiwa siku za nyuma alipopelekwa na kufanya kazi ni Zimbabwe (Harare)na Sierra Leone. Uzoefu wake umejengwa kwa muda mrefu alipokuwa Katibu mwandamizi katika dawati la mamboya nje katika nchi za Jumuiya ya Madola Afrika - Kati na Kusini.
Kwa kushirikana na makampuni makubwa ya mafuta yenye makaomakuu London, British Gas group & Ophir Energy ambayo yamekuwa yakifanyakazi ya kutafuta na kuzalisha gesi Tanzania na nchi kibao Afrika na katika mabaramatano, wamewasha moto kwa kugawa fedha nyingi kwa Viongozi wachache waupinzani (ving'angánizi wa umaarufu na walafi wa fedha) ambao ni Mgombea Uraisiwa kudumu kupitia tiketi ya CUF Prof. Lipumba na Kinara wa Masalia Msaliti Zitto aliyeomba msamaha wa kebehi bilakusema ambacho anatubu (tactical apology + fauxipology) na H. Murji, Mbunge wa CCMMtwara Mjini. Kwa walioshiriki maandamano wapo wachache waliogawiwa Tsh. 200,000 kila mmoja na wengine wenye ushawishimkubwa dau lao lilikuwa juu kidogo, lakini pia wapo wengi waliounga mkonopasipo kupewa taarifa juu ya huu mgao. Mgao bado uko mkubwa kwa viongozi wavyama ambao ni kati ya US$ 5,000 na 10,000 kutegemeana na umaarufu wa mtu.
Suala la msingi la kupigia mstari ni kuwa mradi wa bibiDiane utaendelea sana kwa kupanda mbegu ya chuki miongoni mwetu KUPITIA WANASIASA NA HATA NGO'S iliyasiwepo maridhiano katika jambo hili ili mwishoni tupigane na watatumiambinu zao kama kawaida hata kupenyeza siraha za moto ili tumalizane mapema. Nibayana kuwa hata ule mgogoro wa mpaka na Malawi si suala tu la mpaka wa nchi balini gesi na fedha ilisha mwagwa huko Malawi ndio maana kila siku Waziri Membe anagongaukuta na kututangazia kusogea hatua nyingine ya mbele ya ‘kukubalikutokubaliana' maana ingekuwa ni sisi wenyewe (Watanzania na Wamalawi) hakunashida lakini kwa kuwa kuna mkono wa fedha haramu za mababeru tunaongozwa kimyakimya kufika kule wenzetu wa Nigeria (Biafra & Niger Delta), Sudan, Sierra Leone,DRC n.k walipofikishwa.
Rais Kikwete chagua kama tunataka kuingia katika "bloody gas"au gesi asilia kwa ajili ya maendeleo yetu bila kuvuruga amani yetu. Wanahabarijiandaeni kutengeneza documentary kama ile ya Drilling & Killing by A.Goodman inayohusu Tz kama tutaziba pamba masikioni.
Kwamba, Tanzania ni moja kati ya nchi chache sana Afrika ambazo zina utajiri wa rasilimali asilia lakini hawajaruhusu kukaliwa na vituovya kijeshi vya Marekani wala Uingereza katika jina la kulinda amani ni jambo linalowakosesha usingizi makaburu wengi! Unataka, tafakari; hutaki acha na usubiri documentary ya Drilling & Killing in Tanzania.
:fencing:.