Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 951
- 843
mimi ni mtumiaji wa pombe hususani beer ila nikiishiwa napiga voroba vya konyagi.unywaji wangu ni wa kaiwada sana yani huwezi kutambua kama nimekunywa zaidi ya kuchangamka na kuwa mcheshi.kwa kuwa sijawa mzoefu sana naomba ushauri ili nichukuwe tahazari mapema..
pia leo najisikia kunywa sana ila jana usiku nilimalizia dose ya malaria vipi nikaburudike au ntakuwa nimeharibu...asante nasana kwa majibu yenu
pia leo najisikia kunywa sana ila jana usiku nilimalizia dose ya malaria vipi nikaburudike au ntakuwa nimeharibu...asante nasana kwa majibu yenu