kucha za miguu yake zinafanana na za Sungura,naye analiwa.Tena ni tamuuu hasa ikiwa imekaangwa na mafuta ya alizeti.
[emoji2] [emoji2]kucha za miguu yake zinafanana na za Sungura,naye analiwa.
kwanini unadhni ni paka? kwani paka ni cheaper na rahisi zaidi kupatikana kuliko Nyama ya ngómbe?Mishikaki ya kwenye vituo vya Daladala asilimia kubwa ni ya Paka! Be warned!
Paka wanawapata bure!kwanini unadhni ni paka? kwani paka ni cheaper na rahisi zaidi kupatikana kuliko Nyama ya ngómbe?