Ikiwa Russia kapewa mfupa (Ukraine autafune) basi US akitaka anaweza akaingia vitani na mtu yoyote yule akiamua. Leo hii ndani ya Russia vita vipo, a nuclear state vita vimefika nchini kwake, North Korea ni nani mbele ya Russia. Wazungu wapo kimikakati sana na wanapiga hesabu za miaka mingi mbele.Para ya mwisho imejibu hoja Yako vema
Binance walipaswa kujilinda zaidi kuliko kutegemea serikali kuingia vitani ili kuokoa vi dollar bilioni sita vyao wakati vita ita cost trillion of dollars
Mtego pekee USA hawezi ingia ni vita na North Korea
Kimsingi north Korea itakuja kuanguka kwa kutoka ndani sio nje na hiyo sio Leo wala kesho
Sasa hiyo mikakati ndio inamzuia asiingieIkiwa Russia kapewa mfupa (Ukraine autafune) basi US akitaka anaweza akaingia vitani na mtu yoyote yule akiamua. Leo hii ndani ya Russia vita vipo, a nuclear state vita vimefika nchini kwake, North Korea ni nani mbele ya Russia. Wazungu wapo kimikakati sana na wanapiga hesabu za miaka mingi mbele.
Mguse North Korea, South Korea na Japan zibaki kuwa majangwa yenye mionzi ya nyuklia. Thats the reason, simple.Je, ni kwa sababu Korea Kaskazini ina nguvu zaidi na ina silaha za nyuklia, au ni kwa sababu madhara ya kukabiliana moja kwa moja na Kim Jong Un ni makubwa zaidi?
Swali linabaki pale pale: Kwa nini msimamo huo huo mkali hautumiki kwa nchi zote?
VIVA LISU.
kabisa, Kuna mkataba kati ya China na North Korea kuwa mmoja akivamiwa mwingine anaingilia pia North korea inatumika kama ukingo dhidi ya west hivyo si china wala urusi atakubali kuwa na jirani mwenye ukaribu na westNorth Korea haiogopwi sababu ya nuclear pekee maana wanaweza vamia kwa style ya Venezuela na kumaliza vita mapema. Hofu ya USA ni China, maana wamewahi vamia Korea enzi zile za 1950s kwenye Korean war na Marekani alizidiwa akaita UN kuleta majeshi kuwasaidia na mwishoni kabisa akataka kutumia nuclear dhidi ya China ili vita iishe.
Kwahiyo marekani akivamia Korea anaweza kutana na kipigo kizito kutoka China na hata kusababisha Korea Kusini na Taiwan ivamiwe na wakose vyote.
Mkuu wao wanaishi kwa principle moja tuu "Tafuteni fedha wekeni katika mifumo yenu, sisi tuna dukua tunatumia" just simple 😄NK ile ardhi ina nini cha maana chenye maslahi? Hamna madini, hakuna mafuta, wala gesi, ambavyo ndio vivutio vikuu kwa mabeberu.
Kumbe ni ujambazi unaofadhiliwa na nchi! Hatari sana.Mkuu wao wanaishi kwa principle moja tuu "Tafuteni fedha wekeni katika mifumo yenu, sisi tuna dukua tunatumia" just simple 😄
Ni maarifa si ujambazi, ni moja ya nchi yenye wataalam wa teknojia wa kiwango cha juu. Sisi watu wanasoma ili kuja kuwa ma chawa wa watawala.Kumbe ni ujambazi unaofadhiliwa na nchi! Hatari sana.
Ukishakuwa na nyuklia, hawakuvamii hivi hivi... Bw. kim analijua hiloMwaka jana, Korea Kaskazini ilishutumiwa kwa kufanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya majukwaa ya biashara ya sarafu za kidijitali (cryptocurrency) na kuiba mabilioni ya dola. Mwaka huu, imeshutumiwa tena kwa kufanya wizi mwingine mkubwa wa fedha za kidijitali, ambao unaripotiwa kuhusisha Binance na kiasi cha dola bilioni 6. HACKERS watatu ambao wamehusika kwenye matukio hayo wameshajulikana sura zao na tayari ishathibitishwa serikali ya Kim ipo nyuma yao. Halafu mbaya zaidi Kim kaambiwa kuhusu hilo tukio akajibu kwa kurusha makombola ya masafa marefu tu. Hii inaonesha jamaa alivyo hapendi amani.
Hata hivyo, hatujaona kiwango kilekile cha vitisho vya hadharani, kauli kali za uchokozi au mazungumzo kuhusu kutuma vikosi vya kijeshi nchini Korea Kaskazini ili kumkamata Kim Jong Un kupitia FBI.
Kwa nini Marekani na FBI hazionyeshi msimamo mkali kama huo dhidi ya Korea Kaskazini? Kwa nini kila kunapotokea matatizo barani Afrika au katika nchi nyingine, Marekani huwa ya kwanza kuonyesha nguvu zake za kijeshi na kisiasa, lakini inapofika kwa Korea Kaskazini, ghafla mtazamo wake hubadilika?
Je, ni kwa sababu Korea Kaskazini ina nguvu zaidi na ina silaha za nyuklia, au ni kwa sababu madhara ya kukabiliana moja kwa moja na Kim Jong Un ni makubwa zaidi?
Swali linabaki pale pale: Kwa nini msimamo huo huo mkali hautumiki kwa nchi zote?
VIVA LISU.
Maarifa yakitumika ndivyo sivyo kuiba si ndio ujambazi wenyewe?Ni maarifa si ujambazi, ni moja ya nchi yenye wataalam wa teknojia wa kiwango cha juu. Sisi watu wanasoma ili kuja kuwa ma chawa wa watawala.
Kuna jamaa yangu mmoja aliposikia tu North Korea wamepiga Binance alisema "The value of nukes".Mwaka jana, Korea Kaskazini ilishutumiwa kwa kufanya mashambulizi ya kimtandao dhidi ya majukwaa ya biashara ya sarafu za kidijitali (cryptocurrency) na kuiba mabilioni ya dola. Mwaka huu, imeshutumiwa tena kwa kufanya wizi mwingine mkubwa wa fedha za kidijitali, ambao unaripotiwa kuhusisha Binance na kiasi cha dola bilioni 6. HACKERS watatu ambao wamehusika kwenye matukio hayo wameshajulikana sura zao na tayari ishathibitishwa serikali ya Kim ipo nyuma yao. Halafu mbaya zaidi Kim kaambiwa kuhusu hilo tukio akajibu kwa kurusha makombola ya masafa marefu tu. Hii inaonesha jamaa alivyo hapendi amani.
Hata hivyo, hatujaona kiwango kilekile cha vitisho vya hadharani, kauli kali za uchokozi au mazungumzo kuhusu kutuma vikosi vya kijeshi nchini Korea Kaskazini ili kumkamata Kim Jong Un kupitia FBI.
Kwa nini Marekani na FBI hazionyeshi msimamo mkali kama huo dhidi ya Korea Kaskazini? Kwa nini kila kunapotokea matatizo barani Afrika au katika nchi nyingine, Marekani huwa ya kwanza kuonyesha nguvu zake za kijeshi na kisiasa, lakini inapofika kwa Korea Kaskazini, ghafla mtazamo wake hubadilika?
Je, ni kwa sababu Korea Kaskazini ina nguvu zaidi na ina silaha za nyuklia, au ni kwa sababu madhara ya kukabiliana moja kwa moja na Kim Jong Un ni makubwa zaidi?
Swali linabaki pale pale: Kwa nini msimamo huo huo mkali hautumiki kwa nchi zote?
VIVA LISU.
Alifanya kosa kubwa sana kuachia vichwa 100 viende MoscowKuna jamaa yangu mmoja alipoaikia tu North Korea wamepiga Binance alisema "The value of nukes".
Nafikiri hata Ukraine asingeziachia nuclear weapons zake sasa hivi asingekuwa anapigwa hivi.
1950-1953 alifata USA alifuata nini huko kama hakuna maslahi?NK ile ardhi ina nini cha maana chenye maslahi? Hamna madini, hakuna mafuta, wala gesi, ambavyo ndio vivutio vikuu kwa mabeberu.