K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,618 Reaction score 5,406 May 11, 2012 #1 Naomba msaada juu ya link au website ninayweza kupta matokeo ya Form IV ya 2006.
mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 May 11, 2012 #2 sidhani kama hayo matokeo yapo website ya baraza la mitihani, nenda taasis ya elimu pale mwenge mkabala na new world cinema wanavyo vitabu vya matokeo kwa miaka yote kwa shule zote watakusaidia na ni bure kuangalia
sidhani kama hayo matokeo yapo website ya baraza la mitihani, nenda taasis ya elimu pale mwenge mkabala na new world cinema wanavyo vitabu vya matokeo kwa miaka yote kwa shule zote watakusaidia na ni bure kuangalia
K Kimbori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 6,618 Reaction score 5,406 May 11, 2012 Thread starter #3 Ahsante! Kwani nimetafuta kwenye mtandao sanaaa...