Nimemaliza diploma ya computer science GPA 4.0 ila form 4 chemistry nilipiga mswaki yani F masomo mengine nina PASS . Sasa hivi nataka niombe TELECOMMUNICATION ENGINEERING Kwenye vyuo kama UDOM, UDSM na pengine kwenye hio koze je ninaweza pata nafasi??