Je nitapata diploma ya pharmacy?

Oya fanya kutafuta "KILIMANJARO SCHOOL OF PHARMACY (KSP) Kipo powa sana hautojutia..... kipo KCMC
 
Hayo makozi kwa sasa hayaajiriki tena, kuna maelfu kwa maelfu ya hao wahitimu wamejaa mtaani bila ajira wakiwa busy na mabahasha ya vyeti vya hizo kozi wakisaka ajira.

Ni msoto tu.
 
Kwa utaratibu wa sasa, Diploma ya Phamacy inakutaka uwe na Sifa hizi kuu mbili.

1/Uwe na Credit(yaani CCC) za O-level kwenye PCB, na uwe umefaulu Mathematics O-level angalau D.

2/Uwe umesoma A-level masomo ya Sayansi yenye somo la Chemistry ndani yake(PCB, PCM, CBG, CBN) na kufaulu angalau Division Four.....

Hicho kigezo cha pili ndio kina utata, kimekaa kimagumachi fulani.
 
yaaa bila physics siku hiz brother huwez kupata coz nzurtu ya afya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…