wewe ulisema Apple wananunua camera kutoka Smsung ndio maana nikakupinga na kukuelewesha usijizime data kaka pitia vizuri majibu yako usijitoe ufahamu
We nae mtu mzima akivuliwa taulo huchuchumaa kuficha aibu. Sasa me nachuchumaa wewe unanianika tena. πŸ˜‚
 
Nishaurini kati ya samsung s10+ na google pixel 6pro,, nachopendelea mwonekano mzuri kwa nje,isiwe nzito au nene,napendelea edged screen,,
 
Sasa kama mtu amekutana na Sansung S21 na kamera yake haijafubaa kwa miaka 10 asiseme? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Research huwa zinakosoa Research ko mtaalamu acha kupaniki mtaalamu, uwe unakubali kukosolewa, ACCEPT CRITICISM, anayekukosoa naye kafanya RESEARCH na huenda ni mtumiaji wa muda mrefu wa kitu anachokwambia ko usipaniki mtaalamu. Hata madaktari wenyewe huwa wanakosea sembuse wewe? Ko mtu akikurekebisha kitu kwenye eneo ambalo una uzoefu nalo usimchukulie NEGATIVELY wewe msikilize tu halafu katafiti zaidi na zaidi halafu uje na RESEARCH RESULTS mpya. Haijakatazwa kutafiti kitu kimoja hata mara 100. Ko usiridhike na knowledge uliyoipata kwa utafiti uliofanya mara moja tu kwenye uuzaji wako wa simu, keep on researching huenda utafiti uliopita kuna vitu hukutafiti vizuri au upendeleo ulikuzidi maarifa ukapendelea BRAND fulani. Ko usikome kutafiti juu ya kitu unachokijua tayari.
 
Mara nyingi huambia watu pixel ni simu kali sana

Asante
Ni kweli lakini ukali haujawa limited to them only, hata Samsung S Series ni kali inategemeana umejikita kwenye criterion gani ya simu.
 
Infinix kitochi
 
Mkuu vioo vya dukani vya pixel vinapatikana?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…