Je, nimwamini huyu mwanamke?

Mwambie ulishafahamu tangu zamani kuwa anakusaliti ila kama anakataa bhasi ale kiapo hata hivyo hawezi kubali kama amekusaliti. Kuwa makini na huyo mwanamke, aidha umuoe na kukaa naye karibu au uache.
 
Embu usibishane na mwanaume...... mwanamke kama wewe ingekufaa unyamaze maana uko unapoelekea unavuliwa nguo kabisa

ushauri: chukua au acha


Yeeeeere....
Wewe mdomo mrefu nobody knows but me sikiliza maneno hayo kutoka kwa mwanaume...
Upunguze kidomo domo chako sasa, usije vuliwa nguo sokoni kariakoo bureeee...

Mi simo....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
niko vizuri kielimu, ila mtu akikufanyia ujinga nawewe unamlipizia vivyo hivo.
 
Embu usibishane na mwanaume...... mwanamke kama wewe ingekufaa unyamaze maana uko unapoelekea unavuliwa nguo kabisa

ushauri: chukua au acha
Jf hii imeanzishwa bila kuzingatia jinsia ya mtu ......ongea point za msingi acha kupanic.....komaa akili mkuu.......so na wewe ni mwanaume?! Lol....wewe ni hasara......
 
niko vizuri kielimu, ila mtu akikufanyia ujinga nawewe unamlipizia vivyo hivo.
Ukifanya hivyo hamtofika mkuu......pia zingatia kua wameshazaa....ni wazazi tayari....sahvi ni kuangalia malezi ya mtoto zaidi ....visasi vya kijinga vinapoteza muda
 
Baada ya kwenda chuo ndio umeanza kumuona sio aina yako, endelea kumdundulizia visababu umuache utafunzwa adabu na watoto wa mjini muda ukifika.
 
Sasa ww utaoaje afu umwache mwanamke kijijini kwani yy gogo hana hisia!?
Kama ni masomo mpangishie huko huko mjini ukae naye.
 
Aisee..!?naona umeamua kuji stress mwenyewe,kila la kheri.
 
Mpaka mtu upo na mpenzi lakini hujui namna ya kutatua matatizo yanayokukabili, ya nini ujichoshe na kitu usichokijua? Hapa hata ushauriwe vp lakini mwisho wa Siku unapaswa uchanganye na zako then wewe ndo mtoa maamuzi. Amka Kijana acha kilialia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…