hili nalo neno ndugu bestSms moja kwa siku!!!! Mmh best shtuka, hapo kuna jambo atii!
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye tunapendana sana, ila ana ana manbo ambayo simuelewe ndugu yenu. Mkitofautiana tu kidogo kwa hali ya ubinadamu, ukimpigia simu hapokei, ukimtumia sms hajibu anakaa kimya. Sasa ajabu ameniwekea masharti ya kuwasiliana naye nayo ni sms kwa siku basi. Nimueleweje?
Hiyo kweli, maana ukimjali mtu anaona unajikomba kwake.Na ww uchune usikilizie kama naye anakupenda atakutafuta. Ngoma droo!
Uwe kila siku unam2mia msg ya TAFADHALI NIPIGIE moja tu msije mkakorofishana
bonna huyu ni rafiki yangu ambaye urafiki wetu ni tangu tupo chuo mwaka 2009. kaisha kuwa kama ndugu wa damu ila sasa hivi anabadilka.We umesema huyu ni rafiki yakooooo au mpenzi wako....kama ni rafiki tu basi sio ishu usicomplain sana..
asante kwa ushauri naufanyia kazi.jama mbona haeleweke mambo hayo yamepitwa nawakati kwa sasa ni uwazi na ukweli kama kuna matatizo yamejitokeza basi mnatakiwa muwekane sawa na mambo yaendele sasa kutokupookea simu hakujengi bali kunabomoa kabisa maana kama kuna tabia anachukuiwa nayo inabidi awe wazi. Ushauri wewe zungumza nae na mwambie hizo tabia si rafiki kwako na huzipendi kama kuna jambo ambalo linatakiwa kuzungumzwa mnatakiwa kuwa pamoja na kuzungumza.
ana mambo ya kitoto bana wakati he is mature.^^
Usimwache,,anapima how far ur love can travel from you to him.
^^
Wewe ni 'Me' au 'Ke'?Nina rafiki yangu wa kiume ambaye tunapendana sana, ila ana ana manbo ambayo simuelewe ndugu yenu. Mkitofautiana tu kidogo kwa hali ya ubinadamu, ukimpigia simu hapokei, ukimtumia sms hajibu anakaa kimya. Sasa ajabu ameniwekea masharti ya kuwasiliana naye nayo ni sms kwa siku basi. Nimueleweje?
hahaha umenimkumbusha mtu fulani dah yaani it sounds just like him..Hakupendi huyooo...Nina rafiki yangu wa kiume ambaye tunapendana sana, ila ana ana manbo ambayo simuelewe ndugu yenu. Mkitofautiana tu kidogo kwa hali ya ubinadamu, ukimpigia simu hapokei, ukimtumia sms hajibu anakaa kimya. Sasa ajabu ameniwekea masharti ya kuwasiliana naye nayo ni sms kwa siku basi. Nimueleweje?
ana mambo ya kitoto bana wakati he is mature.
labda kweli, ila ajabu ikifika jioni hajapata sms ya kutoka kwangu anadai "mbona umenichunia leo rafiki yangu?' nashindwa kumwelewa make yeye ndo aloweka masharti.hahaha umenimkumbusha mtu fulani dah yaani it sounds just like him..Hakupendi huyooo...