Je nimekosea?

Je nimekosea?

Turufuu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
182
Reaction score
54
Juzi
moja tulikwaruzana kidogo na my waif wangu sasa mi nipo seblen nachek
mdahalo wa akina warioba yeye waif akaingia chumban akashika madonge eti
anataka kuyameza huku ni mjamzito duh, kidume nikaingia chumban kujitayarisha ili
nikaswali magharib ndo nakumban na hiyo hali nikaenda jikon nikamletea
jagi la maji na glas alfu mi uyo nikaelekea mskiti, nilipofika nje
nikamuandikia meseji "chagua mava kabisa kati ya kisutu na mwinyi mkuu"
duh na anavoogopa kaburi nikarudi yupo seblen anachek muvi nikamuliza vipi umekosa viza au tiket umeipoteza, akanambia oh huna huruma huion ii hali nilionayo bado unataka nife, nikamwambia mimb isiwe kinga ya makosa halaf mi ukanifanya ndondocha lako, bs mpaka leo akikumbuk nilivompa jag la maji anacheka.
 
Sa umekosea nini? labda anaumwa ndo mana anameza hayo madonge
 
Ivi hii ni story au ni story na swali???
 
Mh..we nae...hata sijakuelewa..
 
Duh! Mkuu mwalimu wako wa kiswahili anaumia saana kuuona huu uandishi!!

Habari yoote nukta moja tuu!! Na mpangilio ni pasua kichwa kabisa.
Nawapa pole walimu wote kwa kazi ngumu kiasi hiki.
cc snowhite
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimekukubali sana,hasa hapo ulipo mwambia achague makaburi ya kumzika na hapo ulipo muuliza kuhusu visa na ticket.

Ila angalia mkuu,wajawazito wanahitaji kudekezwa hata kama analeta upuuzi,ni muhimu kwa afya ya mtoto.Usimpe stress shemeji
 
Hujakosea Wanasema mbwa ukimjua jina hakusumbui
 
Turufuu
Wanawake wajawazito wanakuwaga emotional. This time around you are lucky she was bluffing ila si vyema umjaribu as such. Besides labda mwenzio alikuwa anataka kudeka, kwa nini umminyie?
 
haaaa! wewe unaroho ngumu kama malaika mtoa roho za watu
 
Hahahaaa.........Yaani umenifurahisha sana kwa ulichokifanya..! Hujakosea kabisaa..! Hatarudia tena huo mchezo wa kutishia kujiua..! Hahahaaa...!
 
Turufuu
Wanawake wajawazito wanakuwaga emotional. This time around you are lucky she was bluffing ila si vyema umjaribu as such. Besides labda mwenzio alikuwa anataka kudeka, kwa nini umminyie?

Khaa umei improve mno kiswahili...siamini ni wewe
 
hawa watoto wa kambo uwa wanamaanisha,, alikua ampeleka mkewe kibla huyo.
 
hii ni story sio swali lakini kama ni swali bac ulifanya vyema kabisa ila hawa viumbe hawatabiriki anaweza akatafuta visa kweli ikawa majanga
 
Mmmh! siku nyingine hatajaribu kunywa mavidonge.
 
Back
Top Bottom