Hili limekuwa tatizo sana maana ukitaka kugombana na mke fuatilia kipato chake. Wengi huficha na hawataki hela zao zifanye lolote. Mbaya zaidi ni pale wanapoanza kufuatilia za mume. Hapo napo siwaelewi.Kuna faida za kuoa mke alie na kazi au biashara.
Likitokea lolote yeye ana uwezo wa kuendesha familia.
Inategemea maelewano yenu, kama una kipato kikubwa muachie hela yake afanyie vitu vyake vidogo vidogo kama akijisikia kukusaidia chochote ni yeye sio ndiyo uipigie mahesabu.
Kama kipato cha kawaida basi mnaweza gawana majukumu yeye anaweza deal na mambo ya ndani wewe ukawa unadeal na vitu vikubwa mf. Ujenzi...ada za watoto...uwekezaji na n.k
Unamlisha yeye huku anajenga mjengo wa maana kwa siri ukiisha unaachwa Rasmi!! na wanao chukua!! hapo ni kuishi kimachale machaeleNagonga meza, hela ya mama wacha anunulie mapochi na peruvian hair tu. Akikupa sawa ila sio lazima na wengi hawawezagi kutoa hela zao so kama umejianda kufulishwa nguo na kupigishwa deki tegemea hela ya mwanamke wako.
Akiwa bado ana thamani! ndoa changa atafanikiwa kwa hilo, lkn huko mbeleni amesha jichokea??, atasoma rangi za kila aina, watoto wote uliomzalisha atasomesha yeye!! kwa hiyo hela yake mficho.!!Hili limekuwa tatizo sana maana ukitaka kugombana na mke fuatilia kipato chake. Wengi huficha na hawataki hela zao zifanye lolote. Mbaya zaidi ni pale wanapoanza kufuatilia za mume. Hapo napo siwaelewi.
La msingi we tafuta hela achana na pesa ya mwanamke.
Goalkeeper tena? π π πNisaidieni bure.
Nimejengeka na mentality kua hela ya mke ni yamke na ya mume niyafamilia.
Jambo linalonifanya nione bora kuoa golikipa tu kuliko kuoa mke alonakazi iso na msaada ndan ya nyumba. Hali ikoje?
Sijui kama utanielewa, Uyo golikipa utaoa, atajiunga VICOBA, ataanza biashara, itakua na ataendesha mji.Nisaidieni bure.
Nimejengeka na mentality kua hela ya mke ni yamke na ya mume niyafamilia.
Jambo linalonifanya nione bora kuoa golikipa tu kuliko kuoa mke alonakazi iso na msaada ndan ya nyumba. Hali ikoje?
Ndio wanawake hao mzeeUnamlisha yeye huku anajenga mjengo wa maana kwa siri ukiisha unaachwa Rasmi!! na wanao chukua!! hapo ni kuishi kimachale machaele
piga mashine saanaaa! mitoto km 20 hivi!! hapo mwanzoni matumizi toa wewe!! ukiona sasa umefikisha idadi unayotaka na amezeeka kuwa kauzu!! atumie hela yake sasa wewe weka mijengo ya maana kila kona ya jiji hatoki huyo ila atakuua!!
kukomesha hili wewe oa mke mwingine machachali ila awe mchawi haswa kama Eclat!! ikibidi uwe mshirika wa uchawi mke mkubwa akienda kuwaroga mnamuona kwa rada za kichawi mnageuza dawa!!
Lengo akulinde! kila kona unayoenda!!
Nakazia.Oa goli kipA tu.
Chances za kuwa na ndoa ya amani na furaha ni kubwa[emoji3][emoji3][emoji3]...
Kwanza hela ya mwanamke ya nini wewe.
Tafuta goli kipa mfungulie biashara
π π π πSio kutoka tuu na haionekani kabsa.