Je nikubali serikali tatu au moja?.

Je nikubali serikali tatu au moja?.

mantegi

Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
27
Reaction score
20
Wanajf, nakiri wazi kuwa mi ni kiongozi wa CHADEMA ngazi ya kata. kwakuwa mi ni kiongozi wa CHADEMA na kwa kuwa chama changu kimepengekeza serikali tatu namimi kama kiongozi ni halali kutetea msimamo wa chama changu kwani ni maamuzi ya vikao halali vya chama hivyo kwenda kinyume ni kukiuka katiba ya chama kwa kudharau maamuzi ya vikao halali vya chama. Vilevile mi kama kiongozi itabidi nitetee maamuzi ya chama mbele ya wananchi. Lakini kwangu binafsi nakubaliana na hoja ya serikali moja ambayo binafsi naona kama ndo chanzo cha kuondoa matatizo ya muungano kabisa na niko tayari kutetea hili kwa nguvu zote na kwa ujasiri wote na kama inashindikana basi si lazima Tanganyika kuungana na Zanzibar hivyo basi kama kuna upande hautaki serikali moja basi kila nchi ijitegemee kama nchi huru. Hapa mtanisaidiaje, je nitetee maamuzi ya chama changu au nitetee dhamira yangu?. Naomba kuchangia kwa nidhamu ili nipate pa kusimamia ndugu zangu.
 
Ndugu kiongozi, ukitaka vita kati ya Tanganyika na Zanzibar ianze pendekeza serikali moja, laazima vita itaanza, kama sio vita basi tuwe tayari kwa milipuko ya mabomu, sii ya CCM tena, itakuwa milipuko ya "Watanzania", tusije kuota ndoto kushabikia jambo hili, fanya research nenda Zanzibar na utoe wazo kama hilo afu uangalie reaction! Suicide nakuambia!
 
:help:tatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu lasivyo ndoa kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
mama toto nakubaligi sana mchang wako ndo umenifanya nijiunge jf bigup sana mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wanajf, nakiri wazi kuwa mi ni kiongozi wa CHADEMA ngazi ya kata. kwakuwa mi ni kiongozi wa CHADEMA na kwa kuwa chama changu kimepengekeza serikali tatu namimi kama kiongozi ni halali kutetea msimamo wa chama changu kwani ni maamuzi ya vikao halali vya chama hivyo kwenda kinyume ni kukiuka katiba ya chama kwa kudharau maamuzi ya vikao halali vya chama. Vilevile mi kama kiongozi itabidi nitetee maamuzi ya chama mbele ya wananchi. Lakini kwangu binafsi nakubaliana na hoja ya serikali moja ambayo binafsi naona kama ndo chanzo cha kuondoa matatizo ya muungano kabisa na niko tayari kutetea hili kwa nguvu zote na kwa ujasiri wote na kama inashindikana basi si lazima Tanganyika kuungana na Zanzibar hivyo basi kama kuna upande hautaki serikali moja basi kila nchi ijitegemee kama nchi huru. Hapa mtanisaidiaje, je nitetee maamuzi ya chama changu au nitetee dhamira yangu?. Naomba kuchangia kwa nidhamu ili nipate pa kusimamia ndugu zangu.

haijalishi tuna serikali ngapi,hata kama ni kumi ila chamsingi ni kama zinaweza kupunguza matumizi na hasa kutoka haya tuliyopo na pia kupunguza mianya ya ufisadi
 
Watanganyika mkileta masihara kwenye hili la muungano tutakuja kuonana wabaya,kama mtaleta masihara yenu kuna simba huku zanzbr a.k.a B52 a.k.a UAMSHO nafiki hakuna mtanganyika asiejua mziki wa hawa jamaa,ikibidi tutawafungulia.
 
Back
Top Bottom