kwani mpango wako ni kuendelea kudumu nae hadi miaka mingapi????
bibie kaamua kuanza kutafuta walio serious na kuoa, kachoka kuchezewa, miaka nane mchezo?? hata hivyo kavumilia sana
tumia condom tu l... miaka nane mlikuwa mmezoeana tu
kwahiyo kondomu ndio itakuwa suruhisho? miaka nane na saivi arudi alikoanzia yaan atumie kondomu? au u serious Miss Chagga? apo ni mwendo wa yeye kuamua either kusuka au kunyoa,,,,,,,,,,,maaana ngoma atainyaka fasta kuliko maelezo
tumia condom tu l... miaka nane mlikuwa mmezoeana tu