Ninafikiri Addiction yako inawezekana kabisa kuacha na kirahisi.
1. Kaa mbali na hao rafik zako wa kwenye huo mtandano. Ikiwezekana badili namba
2. Kuwa busy na Hobbies nyingine ukipata free time yako.
3. Muombe Mungu wako msamaha upate peace of Mind na upate Strong mindset ya kukataa hayo mambo tena.
Na kila addiction ina stages kwenye kujaribu kuacha.
Najua utajaribu na kurudia , utafanya tena na tena na utashindwa ila hilo lisikukatishe tamaa.
keep going kwasababu ipo siku utajaribu kuacha na utaweza.