JOHN MADIBA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 251
- 155
Hapa Tanzania kwasasa kuna vituo vingi vya television vya binafsi na serikali lakini kutokana na kukosekana maadili ya uandishi vingine vimejeuka genge la ubaguzi kwa sababu wanazozijua ikiwemo siasa, biashara, na mambo binafsi. Je kama wewe ni mtanzania ni kituo gani unaona kipo kwa ajili ya maslahi ya kisiasa zaidi na kuharibu tasnia ya uandishi. kura yako muhimu hata watangazaji wake wamekaa kisiasa zaidi wanapokua wanadadafua mambo ya kitaifa.