labda akaunti isiwe ya bongo kama ni ya bongo mambo ni yaleyale
KCB ni Kenya registered, bongo kuna tawi tu.labda akaunti isiwe ya bongo kama ni ya bongo mambo ni yaleyale
hilo tawi si lipo chini ya bot? benki yeyote ambayo ina operate nchini kukwepa mkono wa serikali ni ngumu
Yes mwenye nacho huongezewa kulingana na matendo yake dunianiHivi mpo serious kabisa kumchangia Huyu MTU? Kweli nimeamini mwenye nacho huongezewa!
Sent using Jamii Forums mobile app
ni wapumvavu tu watamchangia Huyo antpass lisuHivi mpo serious kabisa kumchangia Huyu MTU? Kweli nimeamini mwenye nacho huongezewa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapumvavu =wapumbavu
saw wala haian shidaWapumvavu =wapumbavu
Punguani wahedi wewe, chuki zitakuuwa mdomo wazi
haian =haina
Mbwa kabisa we jamaa....
Umewaza kama nilivyo waza.Manake chuki kwake si ya dunia hiiWakuu za asubuhi !
Wadau mimi binafsi ninaona ipo possibility kubwa ya kuja kuifreez account ya kumchangia Tundu Lissu kwa maagizo kutoka juu ! Je mnadhani hilo linawezakana kufanyika? Nini kifanyike kwasasa ? Ikitokea hivyo hatua gani zichukuliwe kwa aliye athirika na maagizo hayo toka juu? Karibuni kwa mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app