Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,683
Mtaka yote hukosa yote..Kama huyo wa olevel ndo mlikuwa mnaendana kwa nini hukumuoa?Umeoa, na umebahatika kupata kupata watoto wanne kwenye ndoa yako.
Wewe ni mwaminifu sana kwako, na kwa kweli hujawahi kutoka nje ya ndoa yenu iliyodumu kwa miaka kumi na moja.
Mwezi ulipita ukiwa kwenye mizunguko yako town, ukakutana na msichana wako wa zamani aliyekufundisha nini maana ya mapenzi, huku wewe ukiwa ni bwana wake wa kwanza.
Hakika tangu mlipo achana baada ya kumaliza shule, moyo wako na mawazo yako daima yalikuwa kwake, hata baada ya kuoa. Tangu uwe naye hujawahi kupenda upendo wa namna ile.
Mlipo kutana mjini mioy yenu ililipuka kwa furaha na mishawasha, bila hata kuongea, penzi lenu lilipotelea jangwani likaibuka upya ghafla.
Mwanamke huyu amekuwa ni rafiki yako kuliko mkeo, mnashea nae interest nyingi kuliko mkeo.
Kila ukipendacho naye akipenda hicho hicho, hii ni kuanzia zamani mlipokuwa wapenzi O Level.
Mapenzi yenu yanashamiri na kukua, mnajikuta mnamegana bila kupanga.
Mchezo ukaendelea.
Sasa bibie huyu amekuwa mkali, hataki uchelewe kurudi nyumbani kwa mkeo, na hataki muwasiliane kwa namna yoyote ili mkeo asiumie.
MAWASILIANO YENU NI WORKING HOURS, NA WEEKDAYS TU
Je ni nini future ya mahusiano haya?
Huyu mzee ukimueleza hilo unadhani anakuelewa? Haoni kabisa kama anakoseaMtaka yote hukosa yote..Kama huyo wa olevel ndo mlikuwa mnaendana kwa nini hukumuoa?
Be carefull na tamaa.
sio mimi, ni mzee mmoja hapa ofisini yamemkuta, halafu kawa kama zuzu
Lisa, mimi mwenzako domo zito, nilipoletewa mke kutoka bush nikapewa na user manual ya namna ya kumtumia... hasa kwenye NJUNJIHahahahaah! Bujibuji!!!! Umestukiwa mtu mzima, yamekukuta, si ukubali tu!!! Lakini Ya Kale Hayanuki!!! Ila angalia sana usijekamatwa na mkeo. Utaharibu koote.
Lisa, mimi mwenzako domo zito, nilipoletewa mke kutoka bush nikapewa na user manual ya namna ya kumtumia... hasa kwenye NJUNJI
sounds like mid-life crisis!! u mean ameishi 11yrs ndoa bila infidelity wakati moyo ulikuwa kwa mwingine, hainiingii akilini unless kuna jambo lililofichika. mwambie huyo mwanaume (mvulana) aji-evaluate ndoa yake kama ni ukweli au geresha na atubu kwa dhambi ya usalitiUmeoa, na umebahatika kupata kupata watoto wanne kwenye ndoa yako.
Wewe ni mwaminifu sana kwako, na kwa kweli hujawahi kutoka nje ya ndoa yenu iliyodumu kwa miaka kumi na moja.
.....
sounds like mid-life crisis!! u mean ameishi 11yrs ndoa bila infidelity wakati moyo ulikuwa kwa mwingine, hainiingii akilini unless kuna jambo lililofichika. mwambie huyo mwanaume (mvulana) aji-evaluate ndoa yake kama ni ukweli au geresha na atubu kwa dhambi ya usaliti
Ni nyani, haitamsaidia kitu. a real hero would not spend 11yr kwenye ndoa wakati moyo upo kwingine. mnunulie kamusi ajue maana ya hilo neno
Dhambi