tzjamani JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 995 Reaction score 33 Oct 23, 2010 #1 Je ni Mafanikio ya Operesheni sangara? Jinsi watu wanavyojitokeza kwenye mikutano ya kampeni na namna kampeni za mtu kwa mtu, kupitia simu na mitandao mbali mbali. Hamu ya mabadiliko imekuwa kubwa sana. Tuwapoengeze CHADEMA kwa hili.
Je ni Mafanikio ya Operesheni sangara? Jinsi watu wanavyojitokeza kwenye mikutano ya kampeni na namna kampeni za mtu kwa mtu, kupitia simu na mitandao mbali mbali. Hamu ya mabadiliko imekuwa kubwa sana. Tuwapoengeze CHADEMA kwa hili.
THE GAME JF-Expert Member Joined May 30, 2010 Posts 626 Reaction score 363 Oct 23, 2010 #2 Ni kwamba watu wamechoka na maisha ya ahadi no changes so we need true changes.
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,244 Oct 23, 2010 #3 yes,imechangia pia kuwaamsha watanzania kwa kiasi kikubwa sana