Baada ya majuzi kuona wakiwa wanaya test magari hayo na pia msemaji wa DART kusema wanatarajia mradi huo utaanza hivi karibuni na nimeona pia wakitangaza nafasi za ajira wakiwemo office attendant 80 na assistant,IT n.k
Hivyo nilisikia watu wakisema tutatumia punch card yani unaijaza hela so ukingia kwenye gari unapunch inakata nauli yake iliwekwa ni kama master card za ku swap unafanya nayo shopping,na pia wengine wanasema tutakua na tiketi tunakata kwenye vituo.
Nawakaribisha mwenye ufahamu kuhusu hili atujuze.