Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Jiulize ni kwanini atumie wanachama kutoka Buguruni, ambao ni wageni kule na si wanachama wa CUF walioko Unguja & Pemba ambao ndiyo wanazijua mali za CUF zilizoko huko ??!!!Wadai hii nimeiona mitandaoni kuwa Mbunge wa Kaliua Magdalena Sakaya akisaidiwa na Kambaya ataongoza ujumbe wa watu 50 wanachama wa Cuf kutoka buguruni watakaopiga kambi Unguja na Pemba ili kuhakikisha mali za chama chao haziporwi na ACT wazalendo.
Mwenye taarifa zaidi tafadhali.
Yajayo yanafurahisha
Maendeleo hayana vyama!
Hivi John ushawahi kuishi na Wapemba angalau kutoka mtaa wa 3?! Jana nilikuwa na Wapemba fulani hivi; hadi nikawauliza hivi nyie watu CCM wamewakosea nini hasa?! Hawakunipa jibu la kuridhisha; lakini wakishaamua, wameamua! Nimekuja kuwakoma Wapemba walipomnyima kura Dr. Shein Mpemba mwenzao lakini wakaja kumpa Lowassa Mmasai kutoka Bara!!Hahahaa........ atamsimulia nini?!
Hilo nalo neno!Jiulize ni kwanini atumie wanachama kutoka Buguruni, ambao ni wageni kule na si wanachama wa CUF walioko Unguja & Pemba ambao ndiyo wanazijua mali za CUF zilizoko huko ??!!!
Yeye keshaiua CUF soon inaenda kuwa kama UPDP, JAHAZI, UMD nk nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Cuf haina wanachama Zanzibar bali ina mali zake...... Watu ni wa maalimu Seif!Jiulize ni kwanini atumie wanachama kutoka Buguruni, ambao ni wageni kule na si wanachama wa CUF walioko Unguja & Pemba ambao ndiyo wanazijua mali za CUF zilizoko huko ??!!!
Yeye keshaiua CUF soon inaenda kuwa kama UPDP, JAHAZI, UMD nk nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wale wanamgambo wa CUF yaani Blue guard ni wafuasi wa Seif au Lipumba?Wadai hii nimeiona mitandaoni kuwa Mbunge wa Kaliua Magdalena Sakaya akisaidiwa na Kambaya ataongoza ujumbe wa watu 50 wanachama wa Cuf kutoka buguruni watakaopiga kambi Unguja na Pemba ili kuhakikisha mali za chama chao haziporwi na ACT wazalendo.
Mwenye taarifa zaidi tafadhali.
Yajayo yanafurahisha
Maendeleo hayana vyama!
CUF haina mali Zanzibar hata bara zilizokuwa zikitumika ni za kujitolea watu binafsi.Wadai hii nimeiona mitandaoni kuwa Mbunge wa Kaliua Magdalena Sakaya akisaidiwa na Kambaya ataongoza ujumbe wa watu 50 wanachama wa Cuf kutoka buguruni watakaopiga kambi Unguja na Pemba ili kuhakikisha mali za chama chao haziporwi na ACT wazalendo.
Mwenye taarifa zaidi tafadhali.
Yajayo yanafurahisha
Maendeleo hayana vyama!
Hao ni wa Zanzibar ila safari yao itaanzia bugururi kuja huko.Walikuweko huku bara kuhudhuria kesi ya Lipumba .Ni wazanzibari wenzenuJiulize ni kwanini atumie wanachama kutoka Buguruni, ambao ni wageni kule na si wanachama wa CUF walioko Unguja & Pemba ambao ndiyo wanazijua mali za CUF zilizoko huko ??!!!
Yeye keshaiua CUF soon inaenda kuwa kama UPDP, JAHAZI, UMD nk nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipumba na Baraza la wadhamini wanazijua zote kaongea TBC Leo.Wadhamini wanajua Kila kitu koko wapiCUF hauna mali Zanzibar hata bars zilizokuwa zikitumika ni za kujitolea watu binafsi.
Hahaha wanajitambua lakini lipumba kawafurusha kwenye chama chao.Wazanzibar sio mapoyoyo wa bara wale jamaa wanajitambua mno
Mali zipi ziainishe !! Lipumba ameinyonga CUF kwa mikono yake mwenyewe. Bahati mbaya yeye hata Tabora kwao hana ushawishiCuf haina wanachama Zanzibar bali ina mali zake...... Watu ni wa maalimu Seif!
Mali za chama huwa hazigeuki kuwa za mtu hata siku Moja.Zitabaki za chama husika tu.Huwezi sema ohhh wagawane Lipumba na Seif Sharif Hamad.Zile mali ni za chama sio mtu au kikundi cha watu.Zitabaki za CUF.Anayeleta mgogoro ni yule anayepora mali za CUF na kuzifanya za ACT wazalendoWanataka kusambaza mgogoro kutoka wa kichama mpaka wa kijamii, kwa ni wasigawane kwa amani wale wanaomuunga mkono Seif waondoke na mali zao kwa kuwa nao wanamchango katika mali hizo vilevile kwa wanaomuunga mkono Lipumba nao wabaki na mali zao kwa sababu unaweza ukakuta labda katika tawi moja Seif anaungwa mkono na wanachama wengi kama siyo wote kabisa kwa nini uwanyang'anye mali za tawi hilo?.
Maalimu Seif!Hivi wale wanamgambo wa CUF yaani Blue guard ni wafuasi wa Seif au Lipumba?
Kwani Sakaya ni mbunge wa wapi?Mali zipi ziainishe !! Lipumba ameinyonga CUF kwa mikono yake mwenyewe. Bahati mbaya yeye hata Tabora kwao hana ushawishi,
Sent using Jamii Forums mobile app
ulyankulu barabara ya tatu.Kwani Sakaya ni mbunge wa wapi?
Polisi wanawajua vizuri wapemba, wao waende tu watakachokutana nacho watakuja kusimulia.Wana nguvu ya police, remember that brother