Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 15,096 Reaction score 8,905 Feb 8, 2025 #141 The redemeer said: Kisayansi hakuna majini kiimani yapo so inategemea na wwe upo kwenye mtazamo upi Click to expand... Hivi unaposema kisayansi hakuna majini unakuwa na maana gani hasa?
The redemeer said: Kisayansi hakuna majini kiimani yapo so inategemea na wwe upo kwenye mtazamo upi Click to expand... Hivi unaposema kisayansi hakuna majini unakuwa na maana gani hasa?
The redemeer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2025 Posts 4,778 Reaction score 8,209 Feb 8, 2025 #142 Tz mbongo said: Hivi unaposema kisayansi hakuna majini unakuwa na maana gani hasa? Click to expand... Sayansi ni matokeo ya vitu vinavyoonekana Imani visivyoonekana
Tz mbongo said: Hivi unaposema kisayansi hakuna majini unakuwa na maana gani hasa? Click to expand... Sayansi ni matokeo ya vitu vinavyoonekana Imani visivyoonekana
Tz mbongo JF-Expert Member Joined Mar 12, 2015 Posts 15,096 Reaction score 8,905 Feb 8, 2025 #143 The redemeer said: Sayansi ni matokeo ya vitu vinavyoonekana Imani visivyoonekana Click to expand... Kwa tafsiri hiyo unaweza kusema hata kisayansi hakuna sauti maana haionekani.
The redemeer said: Sayansi ni matokeo ya vitu vinavyoonekana Imani visivyoonekana Click to expand... Kwa tafsiri hiyo unaweza kusema hata kisayansi hakuna sauti maana haionekani.