Hakuna kitu kama hiko,fata kitu roho inapenda
After all kufubaa rangi nyeupe ni kawaida lakini kwa mechanism zilizopo sasa hivi after 3-4 years
Unaspray tena afu mambo yanaenda hata sio ghali kivile
Sisi wengine ni team black
Ukiingia home kila kitu black kuanzia showcase mpaka sofa