Je ni kweli Halima Mdee anatoa Community loan?

deserve

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Samahani wanajamii mwenye mawasiliano na mh Halima Mdee atujulishe kama ni yeye anapost kwenye wall yake ya fb kuhusu mikopo ya Community loan au ni mtu anatumia jina lake watanzamia wenye vipato vidogo na maisha magumu tusije kuumia tunaomba utuhakikishie
 

Utapigwa balaa,usithubutu.
 
Huyo HALIMA JAMES MDEE ndio nani au ni yule demu wa zito kabwela?????????????????
 
utaibiwa wewe hizo loan za wapi.com ni matapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…